bombu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 1,127 Reaction score 544 Nov 10, 2011 #21 Asprin said: Pole sana.......... Huo uaminifu umeupotezea wapi? Kuna binti mmoja nimesikia akisema ameuokota. Click to expand... Babu...babu..babuuu! Haya bwana, ukiambiwa utoe ushahidi mahakamani?
Asprin said: Pole sana.......... Huo uaminifu umeupotezea wapi? Kuna binti mmoja nimesikia akisema ameuokota. Click to expand... Babu...babu..babuuu! Haya bwana, ukiambiwa utoe ushahidi mahakamani?
gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,958 Reaction score 2,293 Nov 29, 2011 Thread starter #22 Nehondo said: kukiwa na uaminifu 100% then huo utakuwa sio ubinadamu...huo ni umalaika ndo mana binadamu tumeumbwa kusahau, kusamehe na kuendelea na maisha. Click to expand... mmmh nyie ambao mmanyumba ndogo bana kwa kujitetea!!!!! unaingiza mpaka maneno ya dini wewe hapa
Nehondo said: kukiwa na uaminifu 100% then huo utakuwa sio ubinadamu...huo ni umalaika ndo mana binadamu tumeumbwa kusahau, kusamehe na kuendelea na maisha. Click to expand... mmmh nyie ambao mmanyumba ndogo bana kwa kujitetea!!!!! unaingiza mpaka maneno ya dini wewe hapa
M maliyamungu JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 564 Reaction score 420 Nov 29, 2011 #23 No love in africa. Life fukcs everyone.