I don,t believe my eyes

I don,t believe my eyes

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
541596_470215773051831_1584389373_n.jpg
 
Mfumo dume ushafika ukingoni,
kama huamini chungulia foleni kati ya gari kumi kwenye foleni, 6 ni za wabejing. Bora tukubaliane na matokeo tu.
 
Huyu ni sawa na yule kilaza aliyelala na mzungu ndipo kwa kujiamini akaropoka, 'hey don't smoke my river' oya usivute mto wangu
 
Atakoma kumfahamu bado kupika na kupiga deki kunamsubiri
 
Back
Top Bottom