Yani umwelezemchumba wako ulitaka kuchepuka upate relief?
You cat be serious! Ni heri ufe na mzigo wako moyon mwako, sababu umeshayasema hapa kiasi kikubwa cha mzigo nahisi kitakua kimekuondokea, na ukithubutu kumwambia hata hiyo ndoa sidhani kama itakuwepo tena
Wakati mwingine mjuage bas kusema na tamaa zenu, mtu humjui mmekutana tu juu juu unamwamini kiasi gani kumwingiza kwako na kumfanyia yote haya, yan maisha yako ulikua unayweka rehani mwenyewe kwa tamaa tu
Kama hakupata wala ww hukuwa na michubuko maambukizi kupata chance ni ndogo sana subiri tu huo muda utimie ukapime ujiridhishe au kama unaona unawaswas sana ungeenda hospital kuna dawa flani ungepewa wakat unakua kwenye window period
Hope utakua umejifunza.