grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,662
Hapa ndipo wengi wanakosea , kama mlichuma wote ndani ya ndoa mfano mke akiwa na biashara au kazi na mkatengeneza wote utajiri basi mtagawana nusu kwa nusu kile mlichotengeneza, hii ndiyo sheria ya kiislamu , na kwa mfano mume ukafa na mlichuma wote mali basi itapigwa hesabu mke atapewa nusu yake halafu kumbuka pia mke anamrithi mume hivyo kwenye hiyo nusu ya marehemu iliyobaki atapewa mke kiwango cha mirathi kutokana na sheria za mirathi kiislamu na kwa mume hivyo hivyo .Suluhishi ni ndoa ya kiislam TU,unakuja kama ulivoondoka,nothing less,nothing more..........kinyume na hapo hesabu maumivu
Vipi kuhusu Elon Musk?Jeff Bezos ni simp ukimuangalia tu unaona.
Anaweza kuwa mjanja wa kuwahi kuona fursa ya Amazon na kutengeneza hela lakini kwa wanawake anaonekana kabisa hana ujanja.
Elon Musk sasa jivi hana mke, ila kaoa na kuacha mara tatu na ana watoto 12 na wanawake watatu tofauti.Vipi kuhusu Elon Musk?
Aah kumbeNo ex jeff ndo amefile taraka na mme wake mpya ambaye ni mwalimu.
Jedd yes alikuwa anacheat na huyo reporter ndo chanzo cha taraka yake.
Mapenzi kizunguzungu in saida karoli voice
Ulaya hawatizami elimu ya imani yoyote, as long upo ulaya au US ,mwanamke akikupeleka kwa Pilato hawatizami bali ni sheria za nchi. Hamna kitu wanacho ogopa ulaya kama talaka,kwani zinawapukutisha hela sana wanaume na kaa ukijua baada ya kumpa nusu ya utajiri bado kuna hela unampa mwanamke kila mwezi,hiyo ipo nje ya child support.Hapa ndipo wengi wanakosea , kama mlichuma wote ndani ya ndoa mfano mke akiwa na biashara au kazi na mkatengeneza wote utajiri basi mtagawana nusu kwa nusu kile mlichotengeneza, hii ndiyo sheria ya kiislamu , na kwa mfano mume ukafa na mlichuma wote mali basi itapigwa hesabu mke atapewa nusu yake halafu kumbuka pia mke anamrithi mume hivyo kwenye hiyo nusu ya marehemu iliyobaki atapewa mke kiwango cha mirathi kutokana na sheria za mirathi kiislamu na kwa mume hivyo hivyo .
Watu hawana elimu ya dini ndiyo maaana wanadhulumiwa kirahisi na ndiyo maana elimu ya dini ni muhimu sana .
Ndiyo maana prenuptial ni muhimu kwa hizo nchi shida ni kwamba wengi wanajikuta wamekuwa tricked kufunga ndoa bila ya ku sign prenuptial agreement , mbona elon ameshaoa na kuacha kama mara tano hivi na hajawahi kugawana mali pasu kwa pasu? Issue inakuja kwenye prenuptual agreement ukijokuta una mapenzi sanaaa mwisho unajikuta kwenye mtego utakaokumaliza kila kitu.Ulaya hawatizami elimu ya imani yoyote, as long upo ulaya au US ,mwanamke akikupeleka kwa Pilato hawatizami bali ni sheria za nchi. Hamna kitu wanacho ogopa ulaya kama talaka,kwani zinawapukutisha hela sana wanaume na kaa ukijua baada ya kumpa nusu ya utajiri bado kuna hela unampa mwanamke kila mwezi,hiyo ipo nje ya child support.
Prenuptial mademu wengi ulaya hawazitaki, japo wapo wachache wanao kubali. Halafu Musk design ya watu ambao wanao hitaji sex na watoto ila maswala ya feelings za mapenzi hana kabisa,yy kila kitu anatanguliza akili tatizo kuna wengine wanatanguliza moyo na ndio wanapo ingia mazima.Ndiyo maana prenuptial ni muhimu kwa hizo nchi shida ni kwamba wengi wanajikuta wamekuwa tricked kufunga ndoa bila ya ku sign prenuptial agreement , mbona elon ameshaoa na kuacha kama mara tano hivi na hajawahi kugawana mali pasu kwa pasu? Issue inakuja kwenye prenuptual agreement ukijokuta una mapenzi sanaaa mwisho unajikuta kwenye mtego utakaokumaliza kila kitu.
Yeah! Kuna podcast waliwahi kuzungumzia ishu ya kwanini linapokuja swala la prenup mahusiano mengi hufia hapo na initiator huwa mwanamke always , hitimisho ilikuwa kwamba majority wapo kifaida zaidi .Prenuptial mademu wengi ulaya hawazitaki, japo wapo wachache wanao kubali. Halafu Musk design ya watu ambao wanao hitaji sex na watoto ila maswala ya feelings za mapenzi hana kabisa,yy kila kitu anatanguliza akili tatizo kuna wengine wanatanguliza moyo na ndio wanapo ingia mazima.
Ndio maana kwa US asilimia 75/80% za mashauri ya talaka hufunguliwa na wanawake, sababu wanajua wanafaidika kupitia talaka.Yeah! Kuna podcast waliwahi kuzungumzia ishu ya kwanini linapokuja swala la prenup mahusiano mengi hufia hapo na initiator huwa mwanamke always , hitimisho ilikuwa kwamba majority wapo kifaida zaidi .
Ujanja ni kuto kuoa. Ukishaoa huwezi kujitia ujanja tenaJeff Bezos ni simp ukimuangalia tu unaona.
Anaweza kuwa mjanja wa kuwahi kuona fursa ya Amazon na kutengeneza hela lakini kwa wanawake anaonekana kabisa hana ujanja.
kwahyo utaenda na kitabu chako cha dini mahakamani?Hapa ndipo wengi wanakosea , kama mlichuma wote ndani ya ndoa mfano mke akiwa na biashara au kazi na mkatengeneza wote utajiri basi mtagawana nusu kwa nusu kile mlichotengeneza, hii ndiyo sheria ya kiislamu , na kwa mfano mume ukafa na mlichuma wote mali basi itapigwa hesabu mke atapewa nusu yake halafu kumbuka pia mke anamrithi mume hivyo kwenye hiyo nusu ya marehemu iliyobaki atapewa mke kiwango cha mirathi kutokana na sheria za mirathi kiislamu na kwa mume hivyo hivyo .
Watu hawana elimu ya dini ndiyo maaana wanadhulumiwa kirahisi na ndiyo maana elimu ya dini ni muhimu sana .
Kuoa kwenyewe hatujakubaliana ni nini bado.Ujanja ni kuto kuoa. Ukishaoa huwezi kujitia ujanja tena
Niliye mquote amegusiq uislamu nilichokifanya ni kumrekebisha kidogo , na kuhusu kwenda na kitabu mahakamani kwani haujui ndoa za kiislamu huwa zinasimamiwa na mahakama ya qadhi? Ambapo kwa Tanzania mamlaka hayo wanayo bakwata hata Vyeti vya ndoa hutoka huko (though si muhimu kwenye kukamilisha ndoa ya kiislamu)kwahyo utaenda na kitabu chako cha dini mahakamani?
Baada ya kusoma hapa, nimeenda google nimeenda youtube kutafuta hio interview sijaipata. So sina hakika na hii taarifaMkuu una uhakika na hili.
Alipokea 36 bilion dollars in amazon stock not cash mkuu. Na pia sababu ya kumwacha ni baada ya kugundua alikuwa anamcheat na mwandishi fulani wa habari.
Hii taarifa sidhani kama ni maneno ya Jeff.
Salute kwake kila mtu apambane na shida zakeElon Musk sasa jivi hana mke, ila kaoa na kuacha mara tatu na ana watoto 12 na wanawake watatu tofauti.
Inaonekana anaandika strong prenups kujilinda.