KATASAN'KAZA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 3,097 Reaction score 1,356 May 7, 2015 #1 Usimdharau huyu chaliii...! Attachments 1431030705616.jpg 22.6 KB · Views: 387
H Haika JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,347 Reaction score 571 May 8, 2015 #2 Hivi watu huwa wanasema tatizo la huyu waziri kivuli wa fedha Mbatia asiwe pendekezo la UKAWA kuwa mgombea uraisi ni nini? Mimi namuaminia sana concious yake na uwezo wake wa kuwa focused on isssues at hand.
Hivi watu huwa wanasema tatizo la huyu waziri kivuli wa fedha Mbatia asiwe pendekezo la UKAWA kuwa mgombea uraisi ni nini? Mimi namuaminia sana concious yake na uwezo wake wa kuwa focused on isssues at hand.
MUSHEKY JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 2,812 Reaction score 2,768 May 9, 2015 #3 Dogo katisha kinyama
K Kapwela JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 2,011 Reaction score 1,270 May 9, 2015 #4 Haika said: Hivi watu huwa wanasema tatizo la huyu waziri kivuli wa fedha Mbatia asiwe pendekezo la UKAWA kuwa mgombea uraisi ni nini? Mimi namuaminia sana concious yake na uwezo wake wa kuwa focused on isssues at hand. Click to expand... Kwani Dr Slaa na Lipumba hawapo focused? Nakubaliana nawe jambo moja tu katika uliyoyasema...Mbatia anajitahidi sana kusimama kwenye hoja, hizi ni aina ya siasa tunazozitaka.Hopeful hatabadilika!!
Haika said: Hivi watu huwa wanasema tatizo la huyu waziri kivuli wa fedha Mbatia asiwe pendekezo la UKAWA kuwa mgombea uraisi ni nini? Mimi namuaminia sana concious yake na uwezo wake wa kuwa focused on isssues at hand. Click to expand... Kwani Dr Slaa na Lipumba hawapo focused? Nakubaliana nawe jambo moja tu katika uliyoyasema...Mbatia anajitahidi sana kusimama kwenye hoja, hizi ni aina ya siasa tunazozitaka.Hopeful hatabadilika!!
DOGofGOD JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 1,341 Reaction score 480 May 9, 2015 #5 Very Nice!.Fight For Your Ambition.