I call this kid Jembe!!!!!!!

C unajua lakini jembe lina uwazi kwa juu na daima halikamiliki mpaka litiwe mpini,sasa huyo dogo mi namuona kamanda anaongoza kundi kubwa la ng'ombe afu we unamuita jembe.,Dah unamkosea heshima bhana.
 
Hapo shule ndio basi tena!kama shule zipo mbali na mzazi kutoelewa umuhimu wake.Imagine kijana huyu anakua anakuja town saa hii anaelekea night club!
 
I don't like your atitude..!!!
 
ila wafikiri wenzie wa umri huo wako wapi kwa sasa? je yepi yatakuwa maisha yake 10-20yrs to come??
 
terrible I believe..ila I called him jembe based on the picture itself not otherwise
 
I don't like your atitude..!!!

Kama hujapenda potezea kwakuwa hakuna kitufe cha UNLIKE, ila uliweka bandiko lako ili kila mtu aone na achangie sasa ni ajabu kama unataka maoni yenye mlengo wa kukufurahisha wewe tu. Kubali changamoto..F**K you.(Serukamba katuachia msemo).
 
Just save your energy bro. cwez kukujibu kwa kukutukana...I'm not that kind of person. They say
#Don 't Play With Pigs. You Will Get Dirty and Muddy...but The Pigs Will Love It#
so I guess kutukana ndo unachokifurahia.
pole lakini.
 
Kweli ni jembe. Ila ushupavu huu ulitakiwa akauoneshe shule lwa kukokotoa maths, physics,chemistry na bios
 
sure kabisa ila pengine mazingira hayajamsupport!!!!
 
Hapo shule ndio basi tena!kama shule zipo mbali na mzazi kutoelewa umuhimu wake.Imagine kijana huyu anakua anakuja town saa hii anaelekea night club!
hata hiyo anayoifanya ni shule sema si rasmi na haina mtaala ulioandikwa kwenye makaratasi.
 
Kwanza nakubali dogo ni jembe ile mbaya
Ila usisahau na uwezo wa MUNGU kumfanya dogo kama huyo kutoa amri na MIGOMBE yote ikawatii
KWELI WAKUU MUNGU MKUBWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…