Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,267 Reaction score 12,735 Oct 10, 2017 #2 Fly ova..mabeki tatu mishahara inazidi kushuka, kutoka 50000 mpaka, 35000 hapo bado hajavunja glass, bado hajakopwa na mwajiri wake.
Fly ova..mabeki tatu mishahara inazidi kushuka, kutoka 50000 mpaka, 35000 hapo bado hajavunja glass, bado hajakopwa na mwajiri wake.
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,603 Reaction score 3,666 Oct 10, 2017 #3 Weka maneno mazuri kwa picha hiyo...!! Ndege kuumbwa na Mabawa hana budi (hachagui) ataruka tu...! Cc: Joseverest
Weka maneno mazuri kwa picha hiyo...!! Ndege kuumbwa na Mabawa hana budi (hachagui) ataruka tu...! Cc: Joseverest
TRUE TANZANIAN JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 433 Reaction score 472 Oct 10, 2017 #4 arch88 said: View attachment 606276 Click to expand... Mishahara mipya iko juu..... sababu haijulikani kama mkuu ataongeza mishahara au la. Hivyo watakao ajiriwa sasa watakula shavu.
arch88 said: View attachment 606276 Click to expand... Mishahara mipya iko juu..... sababu haijulikani kama mkuu ataongeza mishahara au la. Hivyo watakao ajiriwa sasa watakula shavu.
simba songea JF-Expert Member Joined Feb 8, 2016 Posts 1,496 Reaction score 1,219 Oct 10, 2017 #5 Promotion maofisini bado utapaaje sasa
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Oct 10, 2017 #6 Daaah ndio imepepea