I beg to differ about BSS

I beg to differ about BSS

Kuna tangazo moja huwa naliona mara kwa mara ITV mshenzi mmoja anamwambia mshiriki, "nilichokipenda kwako ni nguo yako ya ndani tu!" Mwe, huu si ni udhalilishaji wa wazi kabisa? Halafu kipande hicho kama haitoshi ndo kinatumika kama tangazo!!!!!!!!!!!!!

Ha haaa sasa mkuu kama mshiriki mwenyewe kaja kavaa sarawili chini ya masaburi na kufuli lote kalianika nje aambiweje?
 
TBC hawana program watamzingua tu, ila sababu hamna jinsi inabidi tu avumilie tu na hao jamaa ambao hawawezi kusimami ratiba zao.
Hilii kwa kweli nakuunga mkono TBC hawana program wanazingua sana bila hata taarifa kuna ila series ya DouDou na wakwe zake ilikatishwa bila taarifa mpaka wa leo sijui iliishia wapi mbali ya hivyo vipindi vingi vikiwa vya muendelezo hukatikia njiani bila taarifa. Naona program zao hazijasimama. Leo hivi kesho vile.

Bora StatTV na ITV nawakubali.
 
Ha haaa sasa mkuu kama mshiriki mwenyewe kaja kavaa sarawili chini ya masaburi na kufuli lote kalianika nje aambiweje?
Haha haswa kwa vijana wa sasa wanaovaa suruali halafu chupi ndo inakuja juu wakiija sharoharo. bora tu waambiwe hivyo.
 
Back
Top Bottom