I am the one for you Babe.... Yeeaaahh....!

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,236
36,272
You know what babe,

Your Voice

Your Smile,

Your Touch,

The way you do your Homework,

The way you look at me and take gasp without being noticed aahahahahahaaaa I just love you boo... yeah I am the one, am the only one who.....Muembe Dodo I am the one for you

Supriseeeeeeee, ahahahahahaa mmmuuuuaaaahhhh!!!

You are the only one for me Bdodoo uuuuhhhhhh am in love.......

Maskini Granny Kasie, she is in love eheehheheeee



Am the only one for you babe and you are my only one...

Kasinde Matata.
 
Aisee, hii lugha iliyokuja na meli na kwetu hakuna bahari inanitesa kwelikweli.
K - matata, kikongwe mrembo hebu fanya kunitumia sirini haya maneno kwa lugha pendwa ya taifa la Bongo na mimi nipate neno la kusema.
 
Bonny and Horseshoe Arch

He says its more than he being the only one, then he makes me shutter here, mamarin' whispering in his ears and speaks sweet nothing words...

Oooh eeeeooo ooohh eeeooo.... for sure he is the only one...

Matata K.
 
Kasie, ukudekeza na kukubembeleza mpaka ziraili atakapoamua kumchukua mmoja wetu...

1573738351812.png
 
Aisee, hii lugha iliyokuja na meli na kwetu hakuna bahari inanitesa kwelikweli.
K - matata, kikongwe mrembo hebu fanya kunitumia sirini haya maneno kwa lugha pendwa ya taifa la Bongo na mimi nipate neno la kusema.

Ahahahahahaaa double N,

Kasinde amehorojeshwa na Muembe Dodo na msimu wa maembe ndo huu umeingia, dodo tamu mti uko uani na kwa jirani yaani ndo hilo jiwimbo hapo juu likasema huyu Dodo huyu ndo wa pekee kwa jili ya Kasie an Kasie ndo mahsusi bin maalum kwa ajili ya Dodo oooeeeooooo ooooeeeeoooo.... he is the only one..
 
Kuna title ya uzi ukishaona tu, unajua huyu ni Kasinde

Aahahahahaaa sukariii mamboo...

Mekumiiithiiii..... nani kakufungia hata huonekanii sukariiiii... naona ni mwendo wa kulowekewa nguo tuu heehehehehee
 
Ntaendelea kukudekeza na kukubembeleza mpaka ziraili atakapoamua kumchukua mmoja wetu...

View attachment 1263106

Aahahahahahaa Babu Big Sam orijinaleee, nani kama wewee atiii.....

Mahaba yako yananiacha hooii babuu, nimenasa, nimekufa nimehorojeka sihemi sipumui najimwambafy tuu hapa JF kwa madekezo yako aahhahahahhaaaaa

Kwa mahaba yako hay Isiraelei mwenyewe ataona aibu kumchukua mmoja wetu.......

Malabuku zetu mara sabini na mia mbili na mbili, mmuuuaaahhh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom