Optimistic Soul
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 204
- 22
Mmm wala siwamini sana. Mbona kila harusi tano tatu ni mabinti wa kichagga????? Mabinti wa kichaga wako juu my dear ndo maana mnahangaika sana kuwa nao, vinginevyo ......... :caked:Hapa Statistics hazina nafasi, hawa mademu wa Kichagga ni sumu!
Kuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!
Wanawake wa makabila yote ya Tanzania baadhi yao wanafanya haya haya, lakini hawaonekani, lakini ngoja afanye mwanamke wa Kichagga mnaanza kupiga blah blah zenu zisizokuwa na kichwa wala miguu. Hivi katika makabila 120 ya Tanzania wanawake wenye tabia hizi ni Wachagga tu na makabila mengine 119 yaliyobaki wanawake wao hawana tabia kama hizi!? Acheni hizo za kulishambulia kabila la Kichagga kila kukicha.
Hapa Statistics hazina nafasi, hawa mademu wa Kichagga ni sumu!
mimi sikuoa mchaga kwa sababu nchi niliyokuwa naishi hawakuwepo.unajua wengi wa wasomi wameoa wachaga kwa sababu wamekutana nao vyuoni kwa kuwa ni wengi kule lakini wanaolalamika ni wale wavivu wa kufikiri,wanawake wa kichaga wanapenda maendeleo sasa makabila mengi ya tz wanafikiri maisha ni theory sasa wanapoishi na wanawake wa kichaga wanakutana na mchakamchaka wanaanza kupiga kelele.
kifupi tafuta wimbo wa 20% acha tamaa usikilize kwa makini na mwisho kaoe kwenu.
Mbona nasikia mabinti wa kichaga wanato tigo sana? basi ndo wazuri!!
pichu yko... mana waleta mada nyngneMbona nasikia mabinti wa kichaga wanato tigo sana? basi ndo wazuri!!
Vyasaka mabomu wana shida kweli kweliMabinti wa kichaga bomu na hatari..wao wanachojali ni kujinufaisha wenyewe wako selfish sana. Wanakuwa na waume zao kwa sababu za manufaa yao kama kuwapeleka ng'ambo,wakunyang'anye nyumba na mali apeleke kwao etc.na ukiona wanaume wengi waliooa wanawake wa kichaga ni watumwa wa ndoa au mapenzi yao. Wengi walidanganyika na rangi za hawa wamama lakini kwa ujumla hawana malezi wala mafunzo ni bomu..Tumeona na tunaishi nao.....yes i said so!!
Hii mada imekugusa sana Paka Jimmy, nadhani cha moto ulikipata kwa hiyo ndizi mshale, mi nimewapa jina hilo baada ya kuona mwenzangu wanampearl kama kitunguu, hawana huruma watu hawa, hajui kujishusha, mchaga kwake hiyo ni mwiko babaangu, dharau ndio usiseme yaani ni za kuchota, hawafugigi hao ni kunguru mtu wangu, watu wote wanajua, sasahivi hata wanaume wa kichaga wamefunguka macho wengi hawaoi kwao, nenda moshi utashangaa ukienda baa mitaa ya kiboroni 65% ni wanawake wenyewe wamekaa, usiulize piga gambe utambae, sasa hivi moshi mijimama ya kichaga inatafuta dogodogo ili limnyanyase uzuri, waliojiandaa kubisha nawasubiri nina hasira nao tupo na Paka Jimmy 2takwenda nanyi sambamba