Huo wimbo unagusa sana, na wengi yameshawatokea ndio maana wanakubaliana na maneno ya huo wimbo kwamba siku hizi hakunaga mapenzi yaleee yakugandana ni zama za kale...
Unaweza ukampata mwanaume ukidhani ndio atakuja kuwa mumeo kumbe mwenzio anawaza tuu game asepe zake... Inauma sana aiseee...