Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
- Thread starter
-
- #141
Yo Yo anahaha sana aiseee....unajua jamaa hajui kutema sumu....ndio maana hata hainishangazi kila anapo test zali anapigwa kibuyu tu....ahahahahaha
Yo yo alikuwa anajaribu zali kwanza....so expect it soon.
hahahaha!.akaona ngoja aanza na kusema mbona hujibu aone atajibiwa nini...kazi kweli kweli tatizo la yo yo ni kwamba hajatuliya na hajui nini anataka yeye anajaribu kila sehemu ndiyo maana anapigwa kibuyu....
cupcake hebu lets sit and watch what will happen next btwn Nee and YO YO...
cupcake hebu lets sit and watch what will happen next btwn Nee and YO YO...
Basi Mods wameiblock......ngoja nijaribu tena.....Yo Yo, hakuna PM iliyoingia kwangu!
kelly01, pole sana kwa masahibu... hope pumpkin wako atasolve tatizo ....
pssss... usimsimsikilize YNIM, huyo ameanza zamani attempts zake za kuku-entice na ku-move kwenda karibu anapopoa Boston kama sijakosea.... halafu kukaa kwake mjini thru out huchelewi kukuta mambo ya deal za indicators, hifi na wheelcaps ndio zake... 🙂
Basi Mods wameiblock......ngoja nijaribu tena.....
Yo Yo anahaha sana aiseee....unajua jamaa hajui kutema sumu....ndio maana hata hainishangazi kila anapo test zali anapigwa kibuyu tu....ahahahahaha
aisee mbona mnaniua namna hii? mbona mnamjaza sumu mbaya Neemah hana nia mbaya kama mnavyofikiria....hahahaha!.akaona ngoja aanza na kusema mbona hujibu aone atajibiwa nini...kazi kweli kweli tatizo la yo yo ni kwamba hajatuliya na hajui nini anataka yeye anajaribu kila sehemu ndiyo maana anapigwa kibuyu....
cupcake hebu lets sit and watch what will happen next btwn Nee and YO YO...
aisee mbona mnaniua namna hii?
aisee mbona mnaniua namna hii?
JF bwana watu wanaweza kukuundia kashfa basi tu.....za kisoulja boy sio zangu hizo anazo YNIM....just step your game up.....totoz inakaribia kumi na nane halafu wewe unaleta mambo ya yuuuuuuuuuuuuuuuu
kelly01, pole sana kwa masahibu... hope pumpkin wako atasolve tatizo ....
pssss... usimsimsikilize YNIM, huyo ameanza zamani attempts zake za kuku-entice na ku-move kwenda karibu anapopoa Boston kama sijakosea.... halafu kukaa kwake mjini thru out huchelewi kukuta mambo ya deal za indicators, hifi na wheelcaps ndio zake... 🙂
Mazee I hate the so called huwa ananitusi sana YNIM, halafu mnamwachia tu hamfungii mnamwogopa ? Ule mola lakini!!
Fungia JF hapa....mkorofi sana huyo YIMN!
Fungia JF hapa....mkorofi sana huyo YIMN!
shem unaonekana upo mad! what happen?.
tehe tehe tehe jamaa mbona peace tu.....huwa akishautwika inabidi umuendee pole pole....otherwise jamaa bonge la msela na wale masela zake wakina kuzatikaFungia JF hapa....mkorofi sana huyo YIMN!
Shem wangu kuna siku huyu YIMN alinitusi, nina hasira naye !! Mods walichokifanya nikufuta matusi yake lakini mimi bado nimemmaindi .....hahahaha anyway nimemsamehe bure......nitarudi baadaye nawahi ile sehemu......kifupi nipo vizuri na Ha....ri PM kibao hahahahaha!!
Cheers