duuuuuuuuuuuh, kumbe material things ndo kujali, duh...haya bana na kama sina hizo MI-PESA? inakuwaje sasa, ndo sijali au?
Juzi ikaja sms 'd naomba credit mwenzio nina shda' nkatuma jero nkajua anataka vocha! Nkaambiwa 'sasa d hyo si vocha mimi nilikua nataka ninunulie meza ya kusomea' ------- yani mizinga ndo imerahsishwa hadi kuitwa credit!
Kamwambie baba ako .
ha ha ha ha vocha ni vocha,, creidit uingize hela...Juzi ikaja sms 'd naomba credit mwenzio nina shda' nkatuma jero nkajua anataka vocha! Nkaambiwa 'sasa d hyo si vocha mimi nilikua nataka ninunulie meza ya kusomea' ------- yani mizinga ndo imerahsishwa hadi kuitwa credit!