I am looking for temporary teaching chance

I am looking for temporary teaching chance

LACK

Senior Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
129
Reaction score
43
I AM A 3rd YEAR STUDENT WHO IS ABOUT TO END UP HIS STUDYING! I AM A TEACHER OF ENGLISH SUBJECT. SO I'M LOOKING FOR A TEMPORARY TEACHING. PLEASE, MY ABILITY WILL BE KNOWN AT ANY HOW WHEN I WILL BE ASKED TO PROVE. THANKS FOR YOUR CONCERN
 
Siamini kama miaka yote hiyo mitatu ulikuwa unasoma.Anyway,unaweza ukapata;tuna shule nyingi za kata zinatafuta walimu kama wewe!
 
mh.elimu yetu kweli majanga,sasa mwl kama huyu na kiingereza chake.my friend umeshindwa kutumia hata lexis,syntax,grammar etc?phonology je?
 
I AM A 3rd YEAR STUDENT WHO IS ABOUT TO END UP HIS STUDYING! I AM A TEACHER OF ENGLISH SUBJECT. SO I'M LOOKING FOR A TEMPO TEACHING. PLEASE, MY ABILITY WILL BE KNOWN AT ANY HOW I WILL BE ASKED TO PROVE. THANKS FOR YOUR CONCERN


ha ha ha for this English?

you are loser
 
Ila hata user Id yake inajieleza..LACK....of understanding English language.
 
nilichouliza ni kingine! wewe umefanya uhakiki ambao hukuambiwa! hata hivyo sioni makosa yoyote katika lugha! thanks anyway!
 
nikawaida kwenu watu wa kawaida mnachokiangalia ni makosa gani yamefanywa lakini kwangu hiyo siyo shida kabisa!
 
shida yako ni ukasuku! hayo tu ndo unayokumbuka kuna pragmatic pia!
mh.elimu yetu kweli majanga,sasa mwl kama huyu na kiingereza chake.my friend umeshindwa kutumia hata lexis,syntax,grammar etc?phonology je?
 
kuna hitaji mabadiliko makubwa sana katka Elimu yetu cha kushangaza kwa huyu mhitimu mtarajiwa kwanza anasema yuko mwaka wa tatu chuo kikuu inaonekana anasoma fani ya ualimu katika lugha ya kiingereza amespecialize huko lakini kiingereza chenyewe cha kuandika ni shida sasa akipewa darasa hata kama ni kidato cha pili atatmia lugha gani kufundishia Kiingereza ? hawa ndio waalimu wetu ambao watapangiwa kazi hivi karibuni sijui atasaidia kuinua elimu au kuiua kabisa. Mungu atusaidie kuna haja kuchuja hawa wali
u kabla hawajaanza kazi
 
No one can make me feel inferior without my consent.
 
I AM A 3rd YEAR STUDENT WHO IS ABOUT TO END UP HIS STUDYING! ? I AM A TEACHER OF ENGLISH SUBJECT. SO I'M LOOKING FOR A TEMPO TEACHING. PLEASE, MY ABILITY WILL BE KNOWN AT ANY HOW I WILL BE ASKED TO PROVE. THANKS FOR YOUR CONCERN

It is difficult nearer to a camel crossing a hole of the sewinng needle for you to obtain a job of a kind if these lines are your serious grammatical sentences in the language you claim to teach.
 
mmmmmh..zipo sehemu nyingi za kujifunzia kuboresha kiingereza chako, nadhani hapa si sehemu sahihi. na ulivyo fedhuri na bedui unashupaza shingo eti huoni tatizo na hiyo lugha yako chafu eti kiingereza. mtu muungwana ni yule aliye tayari kujifunza.
 
Kumbe bado hata hujahitimu masomo wee soma kwanza ukimaliza ndo utafute ajira mdogo wangu
 
I AM A 3rd YEAR STUDENT WHO IS ABOUT TO END UP HIS STUDYING! I AM A TEACHER OF ENGLISH SUBJECT. SO I'M LOOKING FOR A TEMPORARY TEACHING. PLEASE, MY ABILITY WILL BE KNOWN AT ANY HOW WHEN I WILL BE ASKED TO PROVE. THANKS FOR YOUR CONCERN

Pole nchi yangu. Huyu ndo mtaalam uliyemuandaa ili naye akaandae wataalam wengi zaidi. Sijui product yake itakuwaje na wala sielewi nini hatima ya elimu yetu miaka kadhaa ijayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom