I am looking for mentor/coach

MyTanzania

Senior Member
Sep 9, 2008
106
8
Mimi ni mtanzania mwenye miaka 26. Nina interests ya kuwekeza na biashara. Natafuta financial coach au mentor mwenye interest kama hizo.
Asante kwa ushirikiano.
Anayetaka kusaidia please PM me and I will send my contacts to you
 
Fafanua.
 
Hongera mzee kwa hatua ya kufikiria jambo hilo la msingii, labda unge specify eneo ambalo upo interested mfano, industry au entertainment au vitu kama hivyo. Ninachofahamu mimi mentors wanapendeza kuwa ni ma expert wa eneo husika. Unaweza pia kufika pale University of Dar es salaam entrepreneurship centre kama upo dar au Tz watakusaidia.
 
Asante burn,nashukuru kwa kunielewa. Sanasana napenda kuwekeza kwenye ICT na printing & design industry.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom