Am
aged 24 (female) looking for jobs like house girl, baby sitting,
stationey works, shopkeeping, hair dresser etc namaanisha kazi yoyote
iliyo halali naweza kufanya.
I was studying in a certain private university but due to umaskini
nimeshindwa kuendelea so nimesimamisha kwanza masomo nitafute pesa.
Any one who can offer me a job please pm but salary should not be less than 100,000tzs.
THANKS
Pole kwa yaliokukuta,
nakushauri jinadi zaidi, what are your strengths, ulikua unasomea nini,
unakaa wapi,,,vitu kama hivyo, ni hayo tu dada angu.
Hapana huo si umaskini, maskini ni yule asiyeweza kufanya chochote. Yako wewe ni bahati mbaya mipangilio yako haijaenda kama ulivyokusudia lakini si umasikini.
I was taking bachelor of education naweza kufanya kazi yoyote ile na ni dada mmoja mwanifu sana.
Kazi ningependelea dar, mwanza, arusha au mbeya but mimi naishi mwanza kwa sasa
Pole sana,kwanin usitum maombi
ktk makampun mbalimbali wawez pata kaz,unasema kua unabachela ya elimu
au mim ndo sijaelew vizur
I am aged 24 (female) looking for jobs like house girl, baby sitting, stationey works, shopkeeping, hair dresser etc namaanisha kazi yoyote iliyo halali naweza kufanya.
I was studying in a certain private university but due to umaskini nimeshindwa kuendelea so nimesimamisha kwanza masomo nitafute pesa japo inaniuma sana coz I had only two months to go (kumaliza chuo)
Any one who can offer me a job please pm but salary should not be less than 100,000tzs.
THANKS
pole dear,GOD always instills
courage where there is no courage, believe that you can be one among
those ones who had lost hope but God thought of them and turned around
all their inquiries and prospects.:flypig:
Bado sijapata degree ndo nilikuwa mwaka wa mwisho ila naona imeshindikana kumalizia kwa hiyo nimesimamisha kwanza kusoma nizitafute kwanza hizo pesa zinazohitajika then nitarud kumalizia chuo miaka ijayo