I am looking for a Job ( IT entry level jobs)

Ulipo sema huwezi kujiajili ndipo ulipo nivunja moyo mwana IT mwenzangu mimi nilipo maliza tu nilijikita kwenye programing najambo lakwanza nilianza kujifunza namna ya kutengeneza virus (huyu nilimwita usb virus ilikuwa nikichomeka flash yangu kwenye computer yoyote nikiwa nimemseti mdudu wangu ndani ya saa moja lazima computer izime ndipo chuoni walipo anza kuniita freemaon haya sikujifunza shuleni ila niliamua kujifunza namna ya kubomoa toka kwenye chuo cha wizi kiitwacho hack background kipo israel kupitia mtandao (IT ni somo zuri sana kwakujiajili kuliko kuajiliwa kwani nilijifunza vingi sana namna ya kuchukua pesa kwenye ATM kwanjia ya mshumaa ila mfumo huu ulikuwa zamani mengi njoo inbox acha kulalamika kazi wakati unatembea na ufunguo wa benk
Mkuu mbona kama unamtia majaribuni huyu jamaa..yani anatembea na funguo za benki ila hajui..
 
Kujiajiri sio rahisi mkuu sio kwamba sipendi, na nature ya vitu ninavyofanya sioni namna ya kujiajiri, labda ningekua nafanya development ya applications na websites of which I don't.
Duh! Unatakiwa kujikomboa kutoa utumwa wa fikra. Nimefanya Bsc IT kama wewe, sijawahi kuajiriwa. Kwanza nilianza kufanya kazi zinazoendana na profession yangu kwa kutumia laptop yangu nlokuwa natumia chuoni (TECRA A8 na specs za chini balaa, nakumbuka enzi hizo nlinunua 1.6M kwa pesa iliyotokana na hustle za likizo), baadaye mambo yalininyookea kiasi nikaregister kampuni nikawa naofisi ambayo ni duka pia nafanya retail ya vifaa vihusianavo na IT. Baada ya mafanikio mafupi kuna jambo liliingia kati nikapotea mpaka nikatelekeza "kampuni".....wanaoamini katika mambo ya giza wakaanza kusema nimerogwa na bwana mmoja niliwahi kufanya nae kazi moja kwa muda fulani japo yeye ni mtu prominent sana na ana mafanikio makubwa sana, walinong'ona kwamba wengi waliopishana kauli na huyo jamaa walipotea na hawakurudi tena kwenye ulimwengu wa biashara. Mimi nilifaham vizuri tatizo na sehem niliyokosea hvo niliwaacha waongee huku mimi nikipanga naanzaje, maana nilipoteana hasa kwa takribani mwaka mzima. Baadaye bwana mmoja alikuwa rafiki yangu sana akawa ananifuata nyumbani kila baada ya siku kadhaa, ananisalimia na kuniachia pesa kidogo, laki, elfu hamsini na kunishawishi nirudi mjini, lakini kutokana na hali nilokuwa nayo na hadhi yangu uchwara haikuniwia rahisi kurudi na kuanza moja. Baadaye nilikubaliana naye baada ya yeye kunishawishi, aliniambia kauli moja tu ambayo ilinipa nguvu ya ajabu..."Rene, wewe ni zaidi ya rafiki yangu, nakufaham vizuri sana, nafaham uwezo ulionao kichwani. Mimi mwenzako bado nimesimama nasonga, sina cha kukupa, lakini naamini tukiunganisha nguvu....kichwa ulichonacho na rasilimali kiasi nilizonazo tutatengeneza kitu kikubwa". Siku hiyo aliniacha nikiwaza sana, kumbe mimi huyu nayejiona ni total failure kuna watu wanaoniona vingine. Nilisema "huyu si mimi, I'm not a coward lazy retard", kesho yake saa moja na nusu nilifikka ofisini kwake nikiwa na na laptop yangu begani, jamaa alinitazama mara moja tu akatabasamu na kunambia "welcome aboard soldier", miaka kadhaa sasa tuna kampuni tatu za pamoja, anayo moja ya kwake na nina mbili za kwangu tunapasua anga, watu wanalia mwaka mgumu lakini huwezi amini kwetu sisi toka Magu aingie madarakani neema inatudondokea tu, kila kazi tunayoomba tunapata! Kuna siku tunagombana nusu ya kupipgana, lakini baada ya muda kidogo tumeshayasahau! Amini nakwambia, kazi ya kuajiriwa itakudumaza akili!
 
Mhhh hii ni simulizi ambayo haina uhalisia wowote.
 
Muajiri mzuri huangalia attitude
Kama atatumia kigezo hicho bas umefail

Rekebisha majibu yako
Mi sijamjibu mtu vibaya, kwani ukija pm ukanipa hata email yako nikutumie CV ambayo itajibu maswali haya madogo madogo si inakua ni bora kuliko kuniuliza swali mojamoja hapa? Halafu hata kama ni interview ndio unifanyie hapa kwenye thread kweli? Wewe utakua unataka kunisaidia au kunichoresha??
 
hakuna majalibu hapo ndugu yangu chamsingi unapokuwa unasoma mfano jinsi ya kutengeneza website basi jifunze na jinsi ya kubomoa website hiyo ndio sifa kuu ya information technology lakini tatizo lenu hampendi kujishugulisha kwenye kusoma zaidi unategemea copy za teacher na kwenyekitabu kisha unajitangaza mtaani na jamii foram eti una shahada IT haiko kwenye cheti kwani 70% ya walio fanikiwa kwenye IT hawakumaliza shule wala kupewa vyeti kama mfatiliaji utaliona hilo ndiomana nakwambia jitahidi kuumiza kichwa kwani fursa kwenye hili somo ninyingi mfano umeweza kuingia kwenye kila account bila password kesho ukaenda wizara ya mambo ya ndani utafikili watakuacha bilashaka utaingia mojakwamoja kwenye kazi ya usalama wa taifa ndipo ulipo nikumbusha swali nililo ulizwa kwenye usaili wangu wa hii kazi niliyo nayo kwani tulikuwa kama saba watatu walisomea ugaibuni kabisa na mmoja alisomea nigeria wawili walisomea hapa tanzania nami nilisomea hapo kenya wote tulikuwa ma IT PROGRAMMER yani nimwendo wa code tu hamna picha kwenye screen ya computer niliulizwa tuambie nikitu gani kitakacho tufanya tukuchague wewe tuwaache hawa wakati mnalingana jibu lilikuwa jepesi tu hivyo kaka naludia tena acha kulalamika kazi wakati unatembea na ufunguo wa benki
 
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu, nitaliangalia na hili pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom