I am in love with my brother

Ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme mbingu, kuliko ngamia kupenya katika tundu la sindano.
 
Thats true

dahh pole sana kwaiyo ukimwona unakua hoi? Hajakugundua? Mm nafikiri solution ni moja inabidi kaka yako akioa aishi mbali na wew kutomwona kutapunguza feelingz. Je uko tiyari kumwambia?

Ebu jitoe akiri mtumie hii text.

"kaka sijawahi kukwambia hili nina feelingz na wew kuliko mwanamme yeyote, na najua ni laana. Na hivi unakaribia kuoa nakuomba uhamie mkoa mwingine nisikuone mara kwa mara. Nitunzie siri kaka."
 
achana kabisa na hayo mawazo. ukiyaendekeza utakuja kujuta na utaona duniani si mahali pako. Komaa na hicho kidume chako ulichokipata. kaka yako sio wako bali ni wa wifi yako.
usijifikirie wewe tu bali fikiria jamii itawaonaje? wazazi wenu watawaitajie mkioana mtu na kaka yake? watoto wenu waishi dunia gani. badala ya kumuita mjomba wataita baba, na wewe badala ya kuwa shangazi unakuwa mama. waachie watu Asia
 
Njoo nikuoe utamsahau huyo bro
Kwani mie niko vizuri kushinda yeye

Ila pia ikiwa tabu sana kwako basi nita ji clone!!!

mkiwa on bed akianza kumtaja kaka yake uko tiyari????? Acha kabisa, hapa mpaka avute hisia za kaka ndo....... Sio?
 
Ahahahahahahahahahaaa....
I sincerely render my comment....go ahead fall in love wit your blood brother.
 
Kwani kuna tatizo gani? This is natural love siyo induced love. Love imeumbwa na Mungu siyo jambo la kujitakia. Cha msingi ni kumshauri huu dada ajitahidi kutawala hisia zake. Hutokea mara nyingi huwa tunawapenda watu mbalimbali lakini tunajitahidi kushinda natural love. Mfano unaweza kumpenda mwanamke yeyote kutokana na maumbile yake au mvuto wake au jinsi anavyokusisimua lakini ukijua kuwa wewe ni mume wa mtu na ni muumini wa Kristo unajitahiti kushinda hali hii, unavumilia na baadaye unajielekeza kuwa jambo hili hili haliwezekani, lakini on the first glance unaweza kumpenda mtu yeyote, sio kosa, kosa ni kutaka kuwa naye kila unayempenda. Wanadamu siyo sawa na wanyama wengine wanaotumia silika peke yake, sisi tunatumia pia akili. Kwa wanawake inaweza kuwa ngumu kidogo kwa sababu wao wana fikira za jaha yaani intuitive thinking lakini kwa kuuliza hajakosea ndiyo atapata mawazo kutoka kwa watu mbalimbali ila awe tayari kuyapokea, kuyachambua na kuyatendea kazi. Syo laana kama watu wengine wanavyoamini ni maumbile, lazima tufahamu kuwa tumeumbwa tofauti tofauti
Kwa mtindo huu kuipata pepo kweli kazi!
 
dahh pole sana kwaiyo ukimwona unakua hoi? Hajakugundua? Mm nafikiri solution ni moja inabidi kaka yako akioa aishi mbali na wew kutomwona kutapunguza feelingz. Je uko tiyari kumwambia?

Ebu jitoe akiri mtumie hii text.

"kaka sijawahi kukwambia hili nina feelingz na wew kuliko mwanamme yeyote, na najua ni laana. Na hivi unakaribia kuoa nakuomba uhamie mkoa mwingine nisikuone mara kwa mara. Nitunzie siri kaka."

mmmmh naogopa sana
 
Bado unanafasi ya kusamehewa na kuishinda dhambi hiyo,kulala mtu na umbu lake ni dhambi iliyowazi kabisa..
Tubu dhambi hiyo..utasamehewa kabisa.
kuishinda hiyo hali lazima uzaliwe upya/kwa mara nyngne..

Kwa msaada nione pm.
 
Acha mawazo yako hayo maana ni laana kubwa. Kwa upande mwingine tuache malezi ya kipuuzi yanayoitwa ya 'kizungu'. Binti mkubwa anamrukia kaka yake au baba kabisa na busu teletele eti wooow' wakati huo kavaa kipensi.
Back to ushauri. Mwone huyo kakako kama kakako na sio mshikaji wala jirani..
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu
 
Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
safi sana...wewe mwambie usimfiche...naamini atakushughulikia
 
Hiyo ni laana inakuandama, inawezekana huko nyuma mababu/mabibi zako walishawahi fanya hii kitu sasa inaendelea kukutafuna wewe. Sali sana na kufunga umwombe Mungu akusamehe na akuepushe na hiyo laana. Ni vizuri pia ukatafuta mahali pa uhakika upate deliverance.
 
Back
Top Bottom