Ndugu yangu sio uswazi tu, haya yanatokea hata kwa hao wa uzunguni, watoto wanalelewa kizungu wakijisikia tu wanaingia chumbani kwa wazazi wao bila hodi, la haula wazazi wapo kwenye 'jakuzi' wanakula raha na wamesahau kufunga mlango, yani hii 'raha' wakati mwingine kama 'karaha' tu