Pole ndugu kwakupotea, huku nyuma yalisemwa mengi kufuatia kupotea kwako!
pengine nikudokezee moja tu, : wapo wadau walisema lole fumanizi aliloripoti mzizi mkavu higi karibuni lilikuhusu ww moja kwa moja, ningeomba utupe ukweli japo kidogo tu cunajua tena penye kuku wengi ? unaweza pia kufuatilia habar hiz katika nyuzi eilizo pita! pole sana kwa mkasa kama kweli ilikukuta mpendwa ajali kazin chakushukiru mumeyamaliza na umerudi tena jukwaami'!