wea pipo dare to talk openly.ndiy raha yake
Muda wako mwingi kuutumia humu Jf bandugu ni moja ya kilevi au ni moja ya kutokuwa na majukumu mengi!
Msaada wa Mawazo yako tafadhali.
Mtu kama msalani,ifweero,lizard born,abakorakamo,hushinda Massa 24,hawa hawalali shauri ya ccm,hawa nadhani wanalipwa na ccm.