habari wanajamii,kuna mtu anauza gari lake aina ya Hyundai Amica model ya mwaka 2000 na imetembea 55000KM na anauza kwa 3Mil sasa nlikua nataka kujua kama kuna mtu anajua matatizo au uzur wa hli gari,nashukuru Ndugu zangu
habari wanajamii,kuna mtu
anauza gari lake aina ya Hyundai Amica model ya mwaka 2000 na imetembea
55000KM na anauza kwa 3Mil sasa nlikua nataka kujua kama kuna mtu
anajua matatizo au uzur wa hli gari,nashukuru Ndugu zangu