Hypothetical scenario; Tundu Antipas Lissu akubali kuiwakilisha Acacia mahakamani vs Magufuli

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,342
9,824
Nimejaribu kuwaza tu!
Hii kesi ni straight jackpot kwa wakili yeyote atakayekuwa upande wa Acacia.

Ni moja kati ya zile, money in the bank sure deals!
Sasa mdau, jiweke katika nafasi ya yule wakili bora kabisa katika nchi za maziwa makuu, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu.
Hii kazi inaangukia kwenye dawati lako asubuhi tu.Yani unapata nafasi ya kuingiza kipato kikubwa kiulaini kwa njia halali.

Unasemaje?
Deal or No deal?
 
Wewe siyo MTANZANIA
 
Mwizi anashinda Kesi?
IMG_20170525_111253.jpg
 
Deal nachukua Tena hata kwa bure. Uzalendo sio kuvunja sheria za nchi. Magu angekuwa mzalendo asingeenda kujenga international airport kwake wakat tuna economic viable airport mwanza,zaid ni kujitafutia cv nzuri Kama Ambavo lisu angeweza pats cv nzur kwa kushinda hi kesi no kumuweka katika position nzuri ya
 
Acacia wataweka mawakili wao wa kimarekani, maana marekani wakili hua na degree mbili mfano economics na law, accounting na law, geology na law, engineering na law mtu mhasibu na pia ni wakili hapo hapo hawawezi muweka lissu aisee...hii issue ikienda kwenye arbitral tribunals Tanzania ni 7-0 aisee...
 
Kweli aisee
 
Nimejaribu kuwaza tu!
Hii kesi ni straight jackpot kwa wakili yeyote atakayekuwa upande wa Acacia.

Ni moja kati ya zile, money in the bank sure deals!
Sasa mdau, jiweke katika nafasi ya yule wakili bora kabisa katika nchi za maziwa makuu, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu.
Hii kazi inaangukia kwenye dawati lako asubuhi tu.Yani unapata nafasi ya kuingiza kipato kikubwa kiulaini kwa njia halali.

Unasemaje?
Deal or No deal?
Una mawazo ya kijiiinga kweli kweli!!!!
 
Back
Top Bottom