Hygrometer Iringa mjini

Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
3,009
7,309
Wakuu habarini ningependa kuuliza waliopo Iringa na wanaoijua Iringa, vifaa vya hygrometer kwaajili ya kupima unyevu kwenye incubator vinapatikana sehemu gani hapa Iringa mjini? Mimi ni mgeni wa maeneo haya na nina uhitaji sana wa hygrometer... asanteni
 
mkuu ulipata hiyo hygrometer?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…