Hydraulic Interlock Brick Machine

Malinyingi

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
864
164
Wakuu Nawasalimu!

Kuna fursa moja nimeiona huku ninapoishi, bei ya cement ipo juu sana ukilinganisha na maeneo Kama Dar es salaam Tanga, Mbeya na majirani zao.
nikafikiria nikitengeneza haya matofari ya interlocking bricks na kuwauzia wananchi natumaini nitakuwa kwa Kiasi kidogo nimepunguza hitaji la cement na punguzo kiasi la gharama za ujenzi. Nami pia nikapata chochote kitu
Taabu inakuja hapa kwenye machine, nimejaribu kuangalia manufactures tofauti tofauti, bei zake ni hatari ajabu, wanajamii yeyote mwenye kufahamu wapi zinapatikana ka bei nafuu anijulishe.
Nilitenga kiasi cha Tshs 7,500,000/
Msaada wakuu hela yenyewe inapata majaribu kila siku!
 
Nenda university of dar es salaam college of engineering wana workshop wanatengeneza hizo machines kwa bei poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom