nimekuwa na kijipu kwa juu kwny sehemu za siri na nikaanza kutokewa na utando mweupe mweupe kwny njia kbs ya kwenda ukeni na uchafu ukawa unatoka ingawa haunuki, nikaambiwa nipime HVS (high vaginal swab) matokeo yakawa net pre: pus cells +, epithylial cells ++, T.V -nil, yeast cells -nil, gram stain: no gram negative seen, dawa nilizopewa ni conaz: norfloxacin & tinidazole tablets1x2x5, erythronyicine 2x3x5, na fluconazole 1x1x3 (am not sure with the spellings) nimemaliza dose jana asubh na nilikuwa nina dalili za kupona, ila leo ucku nimejiangalia nimekuta kama tatizo limeongezeka, ule utando mweupe uliotanda kwy mashavu (karibia na sehemu ya kuingilia ukeni) umezidi , yaan shape yote meharibika... naomba mnsaidie dawa zingine za kutumia kabla sijaenda tena kumuona daktari, ni hosptial ya maria stopes ndio nilitibiwa
dah kweli riwa umeongea meku...anaonekana hana infection then wamempa dawa...hawa madaktari wetu wa marie stopes hawa...haya.HVS ndio kipimo pekee ulichofanya?! Nimeshindwa kuelewa majibu yake (HVS) yanaonyesha huna bacterial wala fungal infection, lakini umepewa very strong antibitiocs (combination) na antifungal...kwa kweli hukupaswa kutibiwa kwa dawa hizo unless..kuna kipimo kingine zaidi ya HVS kilitoa majibu tofauti.
Pia nachelea kuamini majibu ya hicho kipimo chenyewe...under no circumstance, vagina can not be sterile! Yaani ufanye HVS hata yeast (candida albicans ambao ni normal flora huko) wasiote? Its is highly unlikely!
Nadhani kuna umhuhimu wa kwenda kwenye hospitali uonwe na Gynacologist na yenye maabara ya kuaminikia (Muhimbili, Aga Khan, Hindu Mandal....?TMJ), japo hizo dawa ulizokunywa tayari zinaweza kika'interfere' majibu pia.
HVS ndio kipimo pekee ulichofanya?! Nimeshindwa kuelewa majibu yake (HVS) yanaonyesha huna bacterial wala fungal infection, lakini umepewa very strong antibitiocs (combination) na antifungal...kwa kweli hukupaswa kutibiwa kwa dawa hizo unless..kuna kipimo kingine zaidi ya HVS kilitoa majibu tofauti.

nimeenda tena leo hospitali wameniangalia , wamenambia coz niliharibu dose, yaan cku ya 3 na ya 4 nilichakachua so kufanya hvyo kumeharibu dose, nimeandikiwa dawa zingine ambazo ni doxy tablets na wokadine ambazo ni za kuingiza ukeni, naomba mniruhusu nizitumie hizi then kila sklu nitakua najiangalia kama dalili zinaendelea au vp
I was about to suggest something lakini tayari unaonekana hauko serious, how come unakua na tatizo kama hilo halafu unachakachua dose??nimeenda tena leo hospitali wameniangalia , wamenambia coz niliharibu dose, yaan cku ya 3 na ya 4 nilichakachua so kufanya hvyo kumeharibu dose, nimeandikiwa dawa zingine ambazo ni doxy tablets na wokadine ambazo ni za kuingiza ukeni, naomba mniruhusu nizitumie hizi then kila sklu nitakua najiangalia kama dalili zinaendelea au vp