hvi atakua amefunga au!!!?

hahaaaaaaa aibu sana.home umewaachia mihogo kwa pilipili.wewe unakula bata.mbinguni kugumu sana
 
duh. uchunguzi wako hatari
 
Kulijibu swali lako mbona rahisi tu. Ndiyo kafunga kweli. Haya uliza swali jingine. Kwani kufunga umenyimwa kula futari hotelini? Ka ni hapana, yeye naye kaenda kula futari kwa mama ntilie, umeyaona hayo maandalizi, mwangalie mwandaaji alivyo tulia akingoja mzee apate futari kwanza. Jamani nyie kina Faizafoxy mnalianzisha wenyewe mpaka mnaachiwa futari zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…