Hv wanawake wa siku hz mna matatizo gani

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Ni story ya kweli wote wawili wanafunzi wa mzumbe mwaka watatu.boy na demu wana mahusiano toka wakiwa mwaka wa kwanza jamaa kampenda kweli gash muda ukazidi kwenda kumbe demu anamcheat jamaa kila siku'kwel siku za mwizi 40'siku hyo demu anaumwa all day akawa na jamaa wake wakaenda hosp kuchukua vdonge na dawa nyngne'jamaa akakaa na demu wake had saa nne'wakaagana mchz akarudi kwake'demu nyuma gari ya mwarabu ikapaki si akatoka bwana kwenda mjini kula bata wanafika kwenye kona fulani b4 moro gari ikapata ajari mwarabu kafa demu kanusurika na majeruhi'jamaa kesho anarudi asubuhi anaanza kumuulizia demu wake magash wengne wakaanza kumficha'jamani uongo mbaya
 
hii kali ya mwaka
Wahenga ndio maana wakakupa kuwa za mwizi ni arbain na hapa nakuomba sana usigeneralise kuwa wanawake wote wapo hivi, wengi tu wametulia
kama afrodenz
 
Si wote ndugu yangu na hata wanaume nao baadhi wanatabia hiyo, so hiyo ni tabia ya mtu tu,na ndo maana tunafanya uchunguzi kabla hamjaanza uhusiano,kwa hiyo pole sana hapo si mwisho wa maisha songa mbele,ila hukatazwi kusamehe na maisha yaka songa mbele
 
Na hiki ni kisa kingine mtu na mume wake'mke anasoma cbe masomo ya jioni kadondoka kwa kijana sasa mke anatembea na yule kijana kila siku wakiwa chuo'siku moja mke karudi home kalewa saa nane za usiku straight kwenye sofa akalala mume akawa anamcheki tu mke wake'sasa si unajua ujanja wa kina mama akamsave yule kijana amina'saa amina akapga simu mara ya kwanza den mara ya pili jamaa akaona apokee kupokea akaa kimya kijana wa watu si akaribu mambo mpenzi umefika'jamaa asubuhi akamuuliza mkewe nani amina si akaficha akachezea mkongoto vibaya cha kushanganza karudi chuo kama kawaida na yule kijana'imefikia kipindi walikutana kwenye foleni mume yuko na vogue mama na benz'benzi ya mama ina tinted yule kijana yuko ndani yule mama anamngonga muwe wake ilooo sasa kama hamuwapendi ya nini kumforce'wanawake naomba mjiheshmu nyie ni viumbe dhaifu lakini sasa imezidi
 
hii kali ya mwaka
Wahenga ndio maana wakakupa kuwa za mwizi ni arbain na hapa nakuomba sana usigeneralise kuwa wanawake wote wapo hivi, wengi tu wametulia
kama afrodenz

sema asilimia kubwa ndo hvyo nina visa vingi sana cheki chni
 
hv mnajua kwamba wababa ndio mnasababisha, unaweza kuwa una cheat mkeo/gf wako anajua ila anaamua kukauka na matokeo yake anaamua kufanya mambo kama hayo. wababa hata kama ni nature kuwa na zaidi ya mwanamke mmoja lakini mnatakiwa mjue hata wadada/mama tuna mwili na nyama jaribuni na nyinyi kubadilika halafu muone. Nashangaa kuna huu msemo eti wanawake ni wengi ila wanaume wachache, mnajidanganya sana mko wengi mpaka....... nitamalizia kesho muwe na uck mwema wapendwa
 
usiku mwema sema kuna wanawake hata wapewe nini bado tu watatoka'haijalishi mapenzi'pesa'nk
 
Dah! Haya mambo yanakufanya mtu ufikirie mara mbili mbili thou si wote lakini kiukweli hali sio nzuri watu sio wakweli si wanaume si wanawake
 
usiku mwema sema kuna wanawake hata wapewe nini bado tu watatoka'haijalishi mapenzi'pesa'nk

umenifanya niahirishe usingizi, sio wanawake tu hata wanaume sema kinachofanyika wanadamu tunaendekeza starehe hatumshirikishi mungu katika kupata mwenza/mke tunaongozwa na tamaa zaidi haijalishi ni tamaaya mali, mapenzi etc. ee mungu tusaidie
 
Nakubaliana na wewe maty watu wanajifanya wajuaji wa mambo siku hizi narudia tena si wanaume si wanawake
 
tutafute dawa kabla ugonjwa haujawa mkubwa
Dawa ipo sana ila binadamu badala ya kumgeukia Mungu wao wanajifanya wajuaji 20 Percent ameimba TAMAA MBAYA watu haturidhiki tunataka mambo makubwa tofauti na uwezo wetu
 
kama vp tupa kule ya nini presha kitu gani bana inauma siku ya 1 ya 2 na ya 3 ushazoea....
 
hii kali ya mwaka
Wahenga ndio maana wakakupa kuwa za mwizi ni arbain na hapa nakuomba sana usigeneralise kuwa wanawake wote wapo hivi, wengi tu wametulia
kama afrodenz

Ndo maana nakupenda
God bless u
 
Dawa ipo sana ila binadamu badala ya kumgeukia Mungu wao wanajifanya wajuaji 20 Percent ameimba TAMAA MBAYA watu haturidhiki tunataka mambo makubwa tofauti na uwezo wetu

haka ka ugonjwa ka tamaa ni kibaya sana sema nadhani God z only da soln
 
MAMA yangu aliolewa kwa mapanga na mikuki, wanawake wa ck hizi wanatakaa peesa,(dr remmy) hili liko pande zote uadilifu ktk ndoa umebaki mdogo mno iliyobaki ni kuvumilina na kulewa watoto kama mnao, vinginevyo hutaeleweka na jamii
 
Ni story ya kweli wote wawili wanafunzi wa mzumbe mwaka watatu.boy na demu wana mahusiano toka wakiwa mwaka wa kwanza jamaa kampenda kweli gash muda ukazidi kwenda kumbe demu anamcheat jamaa kila siku'kwel siku za mwizi 40'siku hyo demu anaumwa all day akawa na jamaa wake wakaenda hosp kuchukua vdonge na dawa nyngne'jamaa akakaa na demu wake had saa nne'wakaagana mchz akarudi kwake'demu nyuma gari ya mwarabu ikapaki si akatoka bwana kwenda mjini kula bata wanafika kwenye kona fulani b4 moro gari ikapata ajari mwarabu kafa demu kanusurika na majeruhi'jamaa kesho anarudi asubuhi anaanza kumuulizia demu wake magash wengne wakaanza kumficha'jamani uongo mbaya

dont generize. Wanawake ndio mama zetu, uwe na heshima.
 
MAMA yangu aliolewa kwa mapanga na mikuki, wanawake wa ck hizi wanatakaa peesa,(dr remmy) hili liko pande zote uadilifu ktk ndoa umebaki mdogo mno iliyobaki ni kuvumilina na kulewa watoto kama mnao, vinginevyo hutaeleweka na jamii

yaah asimilia kubwa halafu hili suala nadhani jamii imechangia sana'maana kuanzia home mtu asiye na kitu hana maana
 
dont generize. Wanawake ndio mama zetu, uwe na heshima.

mama zetu walikuwa hiki kizazi cha dot.com hakuna kitu subiri utayaona nina masimulizi mengi ya mikasa ya ndoa next time nawachana kibaba nataka niandike kitabu wapi tulikosea
 
Back
Top Bottom