Jose anaambiwe arith mke wa kaka yake baada ya kaka yake kutangulia mbele za haki na ugonjwa hatari wa UKIMWI baada ya kukataa jose anapewa radh na wazaz wake na anakuwa mwehu.je ww ungemshaur nn jose?
Isaya haya mambo kijijini kwetu tumekwisha kuyatokomeza miaka 100 iliyopita,unapaswa kutoa elimu kwa wazee badala ya kuwashangaa maana dunia yetu hii siyo ile ya kina Newton