Hv ni kweli

Kwa maisha ya leo elimu inahusika sana as kuna vitu vingi vinaendelea duniani ambavyo mnatakiwa kushea kama wapenzi na ili mshee lazima muwe na similar level of understanding vinginevyo lazima mtaboana tu na hapo ndiyo chanzo cha aliyesoma kutafuta mtu wa pembeni wa kupiga naye stori na kushea mambo ya duniani, yule wa home atabaki for sex only. So kama umeenda shule vizuri it's better also you look for the educated partner.
 
elimu inahusika kwa kiasi kikubwa saana chalii wangu asikwambie mtu
Kabisa kabisa.

BTW; Kuna cousin wangu wakike huwa anasema; Elimu ina nguvu kuliko silaha 😛oa
 
hiyo nikweli kwa sababu mtu aliyepata elimu kidogo anaweza kungamua jambo fulan kuliko yule ambaye hana kabisa na hanakua hajua aanzie wapi
 
Ok nimekuelewa je kama mtu tayari ameshafanya hyo mistake itakuwaje?unamshauri nini.amepata mke lakini elimu kidogo imepishana
 
Thubutu!!!! Unafanya generalization tu before research

Generalization gani? wewe unajua maana ya research au unaandika tu, hapa me natoa ushauri na siyo lazima uuchukue, kama vipi ukiona haufai potezea, katika utafiti uliofanya wewe katika ndoa nani hufa kabla ya mwenzake? ukijua mara nyingi ni mwanaume hutangulia, ulishajiuliza kwa nini? ninapotoa ushauri huwa naangalia mbali siyo kama wengine na hiyo ndiyo tofauti yangu na wewe, kama mke wako anaelimu kwa mfano hata mwalimu wa primary, nurse..n.k hata kama wewe ukifa leo, watoto wako hawatalala njaa, kwa sababu hata ndg zako wakimnyang'anya kila kitu kazi yake itaendelea kuilinda familia na ataimudu vizuri under ceteris peribus...........................
 
Elimu inamatter saana tu. Imagine you are married to someone wavelength tofauti na hamwezi kuhold intelligent conversation. Maana elimu inakupa exposure kwenye maswala mengi na kupanua mawazo. Na pia influences watoto wenu. Hivi imagine unamake hata joke na hakuelewi...Relationship and marriage is more than having sex people...Ukiwa married and you become old, there is something more that should keep you interested in the other, au nimekosea? Yaani hii ni muhimu kuliko hata age and all those things South American soaps will lie about.
 
Ok nimekuelewa je kama mtu tayari ameshafanya hyo mistake itakuwaje?unamshauri nini.amepata mke lakini elimu kidogo imepishana
Isikutie homa kama umeisha penda na unataka awe mke wako, wangapi wamesomesha wake zao, wengine wake zao walikuwa na primary education tu...na sasa havi wameisha chukua ma PhD, na wa kwanza Mjomba wangu kafanya vile :A S thumbs_up:
 
I second that, mwambie kijana asikimbilie kuoa mwanamke asiye enda university wakati hu, yani kama hana ki DEGREE asisogee kabisa upande wake.

amina fazaa, kwasababu mwenye macho haambiwi tazama kila kitu kipo kweupe,tunahitaji kuwa makini sana wakati huu kila tunapofikiria kuwa na wenzi wetu wa maisha,tusikimbilie mwanamke ni mwanamke tu,we have to be selective
 
Last edited by a moderator:
Wote ambao hawajasoma nani atawaoa?
Kaulizeni waliooa WASOMI, ni tabu gani waipatayo then ndo mtoe maoni yanu. Kama mwanamke anaolewa kwa sababu ya kipato chake-hayo si mapenzi ya kweli. Vivyo hiyvo kama mwanamke ataolewa kwa sababu ya kuja kutunza watoto na kusimamia mali zote asinyang'anywe pindi mmewe atakapokufa hayo nayo si mapenzi. Wapo wanawake ambao wana kazi lakini mishahara yao haijulikani inapokwenda-hawatoi hata sh. 10 ya kumnunulia mwanaye nguo wakati mmewe yu hai,ITAKUWAJE IWAPO MMEWE ATAKAPOKUWA AMEKUFA???????????????????????
Mi nakushauri hivi: ANGALIA SANA USIOE MWANAMKE ALIYESOMA SANA MAANA NAAMINI ATAKUSUMBUA SANA MPAKA UJUTE KUZALIWA MWANAMME.Case study:Tembelea nyumba za wasomi wote uone au uwaulize shida waipatayo maana mwanamke akiwa na PESA+ELIMU=KIBURI NA KUJIINUA
 


Ni kabla hajafa nini?????
Von Mo hapa njoo uniambie ukweli!!!!!!!!!!
 
Hivi ni kweli katika kuchagua mpenzi eti kiwango cha elimu si kitu cha msingi cha kuangalia?

hapana elimu sio kitu cha msingi katika mapenzi, cha msingi ni tabia na akili timamu basi !
 
Tatizo ukiangalia hayo ndugu unaeza usipate wakukufaa cha msingi ni upendo wakweli kati yenu ukiangalia sana elimu inaeza ikajakukuletea matatizo baadae. Nimtazamo wangu tuu huu!



Sent from my BlackBerry 9360 using Jamie's
 
Inategemeana na itikadi na mitazamo ya maisha...kwangu iwango cha elimu cha mwanamke ninayeoa achilia mbali hawa ninapita pita nao daily kina mantiki sana...huwa sifungui zipu yangu hovyo hovyo........
 
hivi ulishawahi kujiuliza siku ukifa watoto nani atawalea? kuna familia nyingi zina shida kwa sababu baba kafa, mama hakuwa na elimu wala kazi yeyote

Sijui unawazaje, nahisi unawaza kiukoo ukoo ndio maana uko very shallow if not empty
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…