I IQ M JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 616 Reaction score 320 Nov 17, 2018 #1 Mfano, rafiki yangu anapanga kunikopesha sh 10000. Ni prestige Mimi kujisifu kwa wanangu kwamba rafiki yangu au jirani yangu ameahidi kunikopesha sh 10000.wakati huohuo nawaaminisha wanangu kwamba Mimi ninapesa za kutosha.
Mfano, rafiki yangu anapanga kunikopesha sh 10000. Ni prestige Mimi kujisifu kwa wanangu kwamba rafiki yangu au jirani yangu ameahidi kunikopesha sh 10000.wakati huohuo nawaaminisha wanangu kwamba Mimi ninapesa za kutosha.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Nov 17, 2018 #2 Kukopa sifa kuna watu hawana sifa za kukoopeshwa ila ukiona unakopeshwa sana ujue kuna mali isiyogamishika imeonwa.
Kukopa sifa kuna watu hawana sifa za kukoopeshwa ila ukiona unakopeshwa sana ujue kuna mali isiyogamishika imeonwa.