huyu wakuchapa viboko

Atakuwa amehifadhi maji ndani ya chupa hiyo!
 
Wachagga wanaanzaga na Mbege na kwa vile siku hizi ni adimu basi unaweza kumtest kwa kulamba mdomo wa chupa ya safari mwishowe povu halafu lidoooogo anatest alcohol kwani huondoa asthma
 
wazazi tunatakiwa tuwalee watoto wetu ktk maadili mema. sasa je, mtoto kama huyu,unamtakia mema kweli? haipendezi kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…