jamaa aliharibikiwa na gari kijijini akapewa hifadhi,baada ya kuoga na kula.MZEE:"sasa huyu mgeni alale wapi?" MKE: "saa hizi ni usiku akalale na bebi tu!"jamaa akakwepa usumbufu wa bebi kukojoa kitandani na kulialia usiku.JAMAA: "msipate tabu mi nitalala hapa kwenye kochi." asubuhi akaibuka mrembo. BINTI:"Naitwa BEBI...we unaitwa nani?" JAMAA:"naitwa BONGE la ---- kumamamae zangu! Kumbe bebi ndio wewe,nimepoteza bonge la bahati...Mi ---- kweli..!