Sijui baada ya kunyooka itafuata nini. Umeshabuni biashara Mzee. maana Sijui Bashite sijui Nashita mambo ndiyo hivyo mapambano ya Unga bado yanaendelea!
Mmoja atuwekee ile orodha ya pili ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya aliyoiandika bwana yule kwa mkono sambamba na hii ili watu walinganishe mwandiko! Inaelekea umafanana!
Sijui baada ya kunyooka itafuata nini. Umeshabuni biashara Mzee. maana Sijui Bashite sijui Nashita mambo ndiyo hivyo mapambano ya Unga bado yanaendelea!
kaka, hivi kwa akili yako unafikiri bashite anapambana na unga? hivi kwanini haelewi kuwa hapambani na chochote?....halafu, anachotakiwa kufanya sasaivi, kama ningekuwa mimi, ningesimama mbele za watu niwaombe radhi wale niliowakwaza kwenye vita ninayosema napigana, halafu niwaombe tuungane tusonge mbele, hicho ndicho kitu kigumu. msamaha ni neno dogo ila lina nguvu. wenzake kama kina nape na wengine wana akili, hao ndio viongozi na ndio maana hawajafoji vyeti. wana akili. hatupingi vita, tunapiga kupigana kitoto, kijinga, kuchafua watu bila ushahidi, na mwisho kuwa na mtu mwenye vyeti feki. kwa kawaida, mtu aliyesoma wala hawezi kumwambia muuza unga aje, atafuata njia za intelijensia kumkwida mara moja kwa kushtukiza ili akusanye na vielelezo, njia aliyotumia bashite inaonyesha wazi shule hamna, anatumia nguvu bila shule, na hajui intelijensia. angeomba ushauri kwa polisi, au kwasababu hawaamini na anasema wanapokea milioni tano za rushwa?