Huyu shemeji nimfanye NN?

Muache,mbona Hakuna tatizo hapo?labda useme kichwa chako umekijaza mawazo ya uzinzi na usaliti kwa mkeo.
 
Mkuu njoo huku tufuge bata, soko kwa wachina na wale jamaa wa viattel, achana na mambo za kukaa kwa kaka huku unachonga O na para kama February!
 
Hayo ndio madhara ya kuishi kwa shemeji ukiwa jitu zima
 
nyambafuu,,,,kichwa cha chini kinafanya kazi ndio maana huna mawazo ya kichwa cha juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…