Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Jul 21, 2014 #2 Mombasa hapo ni huyu
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,234 Reaction score 15,656 Jul 21, 2014 #3 Dogo anatisha mbaya...bonge la mechi.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jul 22, 2014 #4 nimeipendA SANA
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jul 22, 2014 #5 Kuna tobo kaachia
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Jul 22, 2014 #6 Ingawa maisha ya hapo yanaonekana ni duni lakini madogo wana furaha!
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jul 22, 2014 #7 kali kuliko zote,hahahaaaaaaaaaa!kufunga happo lazima uwe na makengeza
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,628 Jul 22, 2014 #8 Kweliiii Kipa wadunia hahaha
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Jul 22, 2014 #9 Unapga mpira direct kati ya mapaja chini ya ktovu,atabadl style ya kuziba goli
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jul 22, 2014 #10 Ndibalema said: Ingawa maisha ya hapo yanaonekana ni duni lakini madogo wana furaha! Click to expand... Na ndicho kikubwa zaidi ktk maisha, FURAHA
Ndibalema said: Ingawa maisha ya hapo yanaonekana ni duni lakini madogo wana furaha! Click to expand... Na ndicho kikubwa zaidi ktk maisha, FURAHA
shabiki JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 965 Reaction score 896 Jul 22, 2014 #11 hii ni dalili ya roho mbaya kwa binadam.sasa wenzake watafungia wapi?
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Jul 22, 2014 Thread starter #12 shabiki said: hii ni dalili ya roho mbaya kwa binadam.sasa wenzake watafungia wapi? Click to expand... Mkuu nimecheka balaa hii comment yako yaani ckutegemea kucheka hivi usiku huu
shabiki said: hii ni dalili ya roho mbaya kwa binadam.sasa wenzake watafungia wapi? Click to expand... Mkuu nimecheka balaa hii comment yako yaani ckutegemea kucheka hivi usiku huu