Pipo acheni kuandika pumba!!!
Semina ni muhimu kwa viongozi kama team lazima muwe na wakati wa pamoja hata kwenye mpira kuna mapumziko wachezaji wanatumia ku re-group.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, whats wrong with kuhudhuria mazishi?
<br />Mimi ni mtumishi wa serikali, nilipata msharhara wa mwezi wa nne tarehe 7 may balada ya tarehe 28-30/April. Hii ni dalili kuwa serikali ilikuwa imeishiwa na kukopa. Kama unataka
data zingine sema tukupe na siyo kukurupuka kama watu wa chama cha magamba.
Pipo acheni kuandika pumba!!!
Semina ni muhimu kwa viongozi kama team lazima muwe na wakati wa pamoja hata kwenye mpira kuna mapumziko wachezaji wanatumia ku re-group.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, whats wrong with kuhudhuria mazishi?
Pipo acheni kuandika pumba!!!
Semina ni muhimu kwa viongozi kama team lazima muwe na wakati wa pamoja hata kwenye mpira kuna mapumziko wachezaji wanatumia ku re-group.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, whats wrong with kuhudhuria mazishi?
Hakuna anaebwabwaja hapa sote tuwe tunaangalia kotekote,Jk alipokuwa akizitembelea wizara mbalimbali hivi majuzi na kuongea na mawaziri husika haikutosha?mpaka akaandae semina elekezi"huo si ufujaji wa pesa za walipa kodi masikini(wananchi)?Nani anaebwabwaja Kama sio wewe!!.
ama kweeeli nchi inaliwa................kweli sasa naaamini kuna WANANCHI na WENYE NCHI
Hivi kuhudhuria mazishi ya mzazi wa spika kuna nongwa gani? Baadhi yetu tuna fitna za kitoto.

Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kiongozi kukaa na team yake kufanya SWORT ANALYSIS?
Pipo acheni kuandika pumba!!!
Semina ni muhimu kwa viongozi kama team lazima muwe na wakati wa pamoja hata kwenye mpira kuna mapumziko wachezaji wanatumia ku re-group.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, whats wrong with kuhudhuria mazishi?
Pengine hujui rais na waziri mkuu wanaandamana na watu wangapi katika safari zao na wote wale wanalipwa marupurupu ya safari. That's my point Bro.Pipo acheni kuandika pumba!!!