Ngoja nisome tena na tena labda nitaelewa.Hivi jamani unamuelewaje rafiki yako wa namna hii ambaye anakukuta na mume/mkeo na katika story lazima akupe ya kukuumiza kukuabisha mfano..hahah shemeji kweli umefanikiwa sasa hivi kumshika rafiki yangu so sasa ni si yule itabidi nami nioe niache uhuni na anamalizia na kicheko hahahah...mara unajua kwa kuwa sikuwepo siamini kabisa kama ulifunga na ndoa isije kuwa ni pilau tu imeliwa kama ileee unakumbuka tulipoenda kujitambulisha loh tungepata laana sisi hahah kweli tumetulia sasa hahahah kicheko tena..
Ngoja nisome tena na tena labda nitaelewa.
With friends like that you don't need enemies
unamchana live kwamba hupendi tabia yake
ya nini kufuga maradhi
hebu zima tv na radio kwanza kuongeza utulivu ndo utaelewa!Ngoja nisome tena na tena labda nitaelewa.
Hivi jamani unamuelewaje rafiki yako wa namna hii ambaye anakukuta na mume/mkeo na katika story lazima akupe ya kukuumiza kukuabisha mfano..hahah shemeji kweli umefanikiwa sasa hivi kumshika rafiki yangu so sasa ni si yule itabidi nami nioe niache uhuni na anamalizia na kicheko hahahah...mara unajua kwa kuwa sikuwepo siamini kabisa kama ulifunga na ndoa isije kuwa ni pilau tu imeliwa kama ileee unakumbuka tulipoenda kujitambulisha loh tungepata laana sisi hahah kweli tumetulia sasa hahahah kicheko tena..
duuh rafiki kama huyo nampa BAN
unamchana live kwamba hupendi tabia yake
ya nini kufuga maradhi
Na kweli mirafiki ya sampuli hiyo isiyokuwa na manners 'unaichanilia' mbali tena live hapo hapo tu. Na si habari ya kuleta mzaha mbele ya mkeo tu hata akikukuta kwenye kampani ya watu asiowafahamu hana ruksa kuleta utani au maujiko ya kibw*ge bweg*
Akitaka kuleta hadithi zake anisubiri tukikutana tukiwa wenyewe hukooo...'Uje Tena Bar'π Marafiki wa sampuli hii ni kuwapiga 'Non granta' nyumbani kwako na unawa tengenezea mazingira kuwa mwisho wao ni getini tuπ