Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
NomaWakuu bila kupoteza muda twendeni kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Jana mida ya saa tatu usiku narudi nyumbani nikapumzike huku maeneo ya kwetu kipunguni ikabidi nichukue bodaboda inirudishe nyumbani na sikuwa mbali na nyumbani nilikuwa maeneo ya karibu na nyumbani kama mtaa wa 7 na ninakoishi baada ya kupanda bodaboda mwenye bodaboda akapita mtaa mmoja uko kimya sana tukakutana na paka mwenye rangi ya mabaka meupe na meusi akawa anaikimbiza pikipiki yetu kama hatua ukipiga hatua umbali aliotukimbiza yule paka miguu 12 ya mtu nzima nilipomwambia yule kijana wa bodaboda aongeze mwendo na alipotuona anatukosa akatoa sauti na kulia nyauuuuuuuu! SASA SIJUI HUYU PAKA WA NAMNA GANI PAKA ASIO NA UOGA wakuu!
Post sent using JamiiForums mobile app
Angekuwa mbwa sawa kukukimbiza nisingestuka lkn paka nimeshangaa mkuuPaka jasiri huyo au we ulihisi ni wa namna gani
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Mapema yote tena saa tatu mkuu noma
Sina deni na mtu mkuuITAKUWA UNA DENI LAKE ULIMKOPA HUKULIPA
Post sent using JamiiForums mobile app
Sana! MkuuNoma
Post sent using JamiiForums mobile app
Paka wakati mwingine anakuwa mlinziAngekuwa mbwa sawa kukukimbiza nisingestuka lkn paka nimeshangaa mkuu
Post sent using JamiiForums mobile app
Hmmm!!! Sijawai kusikia paka akawa mlinzi kama mbwa mkuuPaka wakati mwingine anakuwa mlinzi
Ukubwa dawa mkuuHmmm!!! Sijawai kusikia paka akawa mlinzi kama mbwa mkuu
Post sent using JamiiForums mobile app
Muhenga kumbe wewe mkuu[emoji23]Huyo paka zamani nilikuwa namuona kwenye betri za "Eveready" Shika paka power.
Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
Uliposema kipumguni nikakonkludi huyo paka atakuwa ana asili ya Kikurya mkuu.Wakuu bila kupoteza muda twendeni kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Jana mida ya saa tatu usiku narudi nyumbani nikapumzike huku maeneo ya kwetu kipunguni ikabidi nichukue bodaboda inirudishe nyumbani na sikuwa mbali na nyumbani nilikuwa maeneo ya karibu na nyumbani kama mtaa wa 7 na ninakoishi baada ya kupanda bodaboda mwenye bodaboda akapita mtaa mmoja uko kimya sana tukakutana na paka mwenye rangi ya mabaka meupe na meusi akawa anaikimbiza pikipiki yetu kama hatua ukipiga hatua umbali aliotukimbiza yule paka miguu 12 ya mtu nzima nilipomwambia yule kijana wa bodaboda aongeze mwendo na alipotuona anatukosa akatoa sauti na kulia nyauuuuuuuu! SASA SIJUI HUYU PAKA WA NAMNA GANI PAKA ASIO NA UOGA wakuu!
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] Joseverest nakuona mkuu upoMuhenga kumbe wewe mkuu[emoji23]
Tata mullah bhita ni bhita tata [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji13] [emoji12] [emoji120]Uliposema kipumguni nikakonkludi huyo paka atakuwa ana asili ya Kikurya mkuu.
Pole sana.
nipo sana[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] Joseverest nakuona mkuu upo
Post sent using JamiiForums mobile app