Huyu ni nani?

Huyu ni nani?

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,955
Reaction score
16,006
3.png
aione nifah!
 
Last edited by a moderator:
Hawa wote malaya tu.Ona hayo mapaja ya gigy yamegoma mkoro sijui ndio anaanza hadi yanatia kichefuchefu.
Huyo mwezie hizo ndala hapo kifuani sijui ndio anaona fashion hata sielewi.

kwani hawa Malaya ni kina nani hasa wanafanya nn
 

Asante ndugu kwa kusahihisha.Ujue watu wengi sana hua wanakosea kunimention hadi itokee bahati nipite kwenye uzi husika ndio nione.
Naumia maana mtu anaweza kuhisi nina dharau nini.....si unajua tena?
 
Last edited by a moderator:
Huyo aliyejianika ambaye ndie umeanza kuweka picha yake ukiuliza ni nani anaitwa Gigy money ni video queen.
Anaforce umaarufu sana maana anajidai na mziki anaweza kufanya pia.
Yupo kwenye video nyingi tu ila the latest ni ile ya diamond nasema nawe.
ngoja niitafute hiyo ya nasema nawe nimwone
 
Back
Top Bottom