Huyu ni nani ?

Mambo ya kujifanya unawajua sana watu kupitia IDs zao.

Shameful.
Acha kutetea utumbo. Nimetizama maneno aliyoandika, regardless ya ID.

Something in your amygdala is affecting your reasoning.

Natumai wewe ndiye wakili wake.
 
Huyu dada ni mwafrika kusini, jina lake nimelisahau kidogo. Huko SA huyu dada ni Celeb kama ilivyo kwa Nick Vujicic. Shughuli yake kubwa ni kumotivate watu waliokata tamaa na maisha.

Juzi kama siku 3 alisheherekea birthday yake ya kutimiza miaka 18, Jacob Zumma ambae pia ni rafiko wake wa karibu alituma zawadi.

Alipata ugonjwa unaoitwa Progelia, yani mtoto anashindwa kumature, umri unatembea lkn anabaki kukomaa tu. Madaktari walitabiri hatovuka miaka 14, lkn bado anadunda tu.

Pia kuna kautani kalisambaaga kua huyu ni VmoneyRappa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…