Jamani sijacheka kosa langu ni kutojua ,,,haki tena nilijua sio mtu mpaka nimechunguza ,nisameheee mim ni mgumba sizaiWewe bado sana kwenye maisha. Na hapo bado hujazaa.
Fikiria mwanamke ambaye amebeba ujauzito kwa miezi tisa, halafu anamzaa mtoto kama huyo. Jiweke nafasi ya huyo mama, unafikiri alijisikiaje alivyo mzaa huyo mtoto.
Show compassion. Usije ukarogwa kumsema mtu kwa sababu ya maumbile yake ya kuzaliwa. Never do that. Na ukifanya hivyo, basi uwe na kumbukumbu nzuri.
Wewe bado sana kwenye maisha. Na hapo bado hujazaa.
Sijawahi kumuonaNgoja nije pm,,ina maana humjuiii?
Ndio nasema ni kushukuru ulivyoumbwa kumbe sisi wazuri jamani sasa huyu mi hata sikujua kama ni mtu nilijua ka mdoliSijawahi kumuona
Ujue bas na sisi wenye vi matatizo cjui una mguu mfupi sjui una tatizo lako doogo bas ubahisi kama Mungu kakutupa, i cajt imagen mtu kama huyo ana waza nn
Mi mwanzo nilidhani mdoli kuja kuona picha zaidi ndio nikajua ni binadamu jamani hata hapa nashindwa kujua ni mtoto au mkubwa ,sijui walioatwa na nini ,,,nimeona hadi kapiga picha na raisi wa SA
JIONEE
View attachment 487498View attachment 487499View attachment 487500View attachment 487501 namshukuru alieniumba jamani nimegundua mimi ni mzurii lo
@iceman3D njoo uone nimekuletea mchumba
STUNTER Matola Msagasumu Raimundo
HahahaaNdio nasema ni kushukuru ulivyoumbwa kumbe sisi wazuri jamani sasa huyu mi hata sikujua kama ni mtu nilijua ka mdoli
Sasa eti mtu ananitolea risala wakati mi toka nimezaliwa sijawah ona mtu wa hivi ,,Hahahaa
Mi nilijua vi katuni vya kwenye animation
Yaan nilijua walitengeneza kwa ajili ya movie flan hivi
Sema kila tatizo kwa mtu ni kubwa
Anavaa magauni na nywele za bandia atakuwa wa kike huyu
Umejuaje mtoa mada hajazaa?