Huyu ni mke wa aina gani?

Heeeee!! Makubwa!!! Dah hiyo ndoa eti!! Ndio mana nsipoingia humu naumwa!!Anakuuzia hadi papuch uliyoilipia?duuu huyo mke wa ajabu cjawah kuona! Ngoja niendelee kushangaa....!!!!!!
 
Reactions: Luv
kkkkkkk mkuu nimecheka mpaka basi yaani anakuuzia nyapu yake? vipi na wewe huwa unanunua? Nalog off
 
Inawezekana we huwa umpi hela za matumizi na ndo maana anakuvizia katka angle hiyo!! Ila daa!! Atakuwa kafundishwa na shoga zake!!
 
Tatizo wewe mgumu sana acha ubahili mpe mara kwa mara tuuuuu. Wewe umekuwa mgumu na huwa unampa baada ya kumlala tu ndio maana huwa anaombea hapo.
 
Kwani huwa unakojoa hela?? maana c bure ati!
 
Kwa hadithi hizi bora niwe Tomaso!
 
yaweza Kuwa Kweli, maana nimeshamsikia mtu akilalamika kitu mfanowe kama hivyo .....
 
Inawezekana ahadi zako mpaka ukatiwe viuno ndio unaropoka oooh leo utaenda kuchukua lile wigi la brazilian oooho upitie zile wax pale sinza usisahau handbag zako kwa dada nanii boutic yote unamaliza wewe sasa mkimaliza mwenzio anakukumbushia tu wewe tayari unaleta jf kwani huwa huna fahamu unaporopoka pale 6x6
 

haha! Umenifurahsha.
 
Ndo zao munkari hata me nikikutana na ilo ntahakikisha nalifunganalo kanga mbichi sasa mpaka ikauke bili itakuwa kubwa hapo najua mpaka next wk ndio ntapata tena
 

Twende taratibu kwanza,hela ya kufanyia nini? Unajua wewe waweza kuwa tatizo, yaani haumpi pesa ya matumizi kirahisi na ndo mana anaamua kutumia njia hiyo,akikuomba muulize ya nini?
 
Kuna jamaa anamgegeda halafu anampa pesa, chunguza utakuja kiri hapa jamvini
 
Heeeee!! Makubwa!!! Dah hiyo ndoa eti!! Ndio mana nsipoingia humu naumwa!!Anakuuzia hadi papuch uliyoilipia?duuu huyo mke wa ajabu cjawah kuona! Ngoja niendelee kushangaa....!!!!!!

ww Munkari ati nn kailipia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…