Huyu ni mdudu gani?

Huyu ni mdudu gani?

Anaitwa chakubimbi,...Anapatikana Sana beach kidimbwi
 
Khilutofela ndio jina lake.
Nilivyomwona huyo mdudu nikamkumbuka mwenzake mdogo hivi anapatikana mtoni kwenye vinyungu yeye anatoa moshi na moto matakoni, ni kama spark inavyolipuka.
 
Back
Top Bottom