Huyu ni ke/me?

Labda yupo kote kote
 
Mmh ndo nimeamka ngoja nikanawe ili nione vizuri
 
Binafsi nilikitazama hicho kipindi,sauti yake, pozi zake na anavojivuta vuta nilijuwa mwanamke baadae nikagundua kuwa ni mwanaume.pasipo na shaka amri ya mh wa dar inamuhusu....
 
Na kuna mwenzake humu, ana threads kila leo za kuhusu mapenzi!
 
Aisee nilikiona hiko kipindi huyo jamaa sio kabisa kama ni mwanaume aache hayo mashauzi
 
Wanaume wengi wanaojihusosha na fasheni za kike wengi wao huwa ni mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…