Huyu ni hacker? nisaidieni

Huyu ni hacker? nisaidieni

Usikute wewe ndie hacker mwenyewe afu unatuzuga.
 
Wajinga tu hawa, ndo tatizo la watoto wanaoanza kujua some tricks, wanatumia ovyo ovyo, kati ya site zote wameona wachakachue hiyo? hahaha wanajitapa kwa kuhack sites ambazo hazina security, wajaribu kuchakachua servers za Facebook, Google, Yahoo, au US government sites wakifanikiwa ndo wajiite hackers kweli, zaidi ni kujitapa tu kumbe kichwani bado sana..
 
Kwani mtu anaehack Facebook accounts zaidi ya 70000 anakua amecheza na nini kama sio server side ?

Kuna technique nyingi za kupata account za watu wa facebook na si lazima ucheze na server side.. Mfano mtu anayefanya phishing au anaye-log keys za watu, unadhani atakosa accounts za facebook? Kuingia kwenye server za facebook ukabadilisha information ya mtu, au ukaiba file linalo-contain passwords za users usidhani ni kitu kinafanywa na watoto kama hawa wanaohack sites zisizo na security... Ushawahi ona mtu ameangusha facebook hata kwa sekunde tatu ikawa inadisplay text za ovyo hizo?
 
Ingia humu na hii site ndio ilivyo? au imevamiwa?

http://www.afrocentury.co.tz/

Iyo wameihack na wameikuta iko vulnerable kwakutumia google tricks, mana sizani kama waliweza kuitarget hiyo site tu direct kabisa eti saizi ni hack Afrocentury, white charcoal.
Sijui admin anafanya nini muda wote huu, au yupo kunywa chai.
 
Kuna technique nyingi za kupata account za watu wa facebook na si lazima ucheze na server side.. Mfano mtu anayefanya phishing au anaye-log keys za watu, unadhani atakosa accounts za facebook? Kuingia kwenye server za facebook ukabadilisha information ya mtu, au ukaiba file linalo-contain passwords za users usidhani ni kitu kinafanywa na watoto kama hawa wanaohack sites zisizo na security... Ushawahi ona mtu ameangusha facebook hata kwa sekunde tatu ikawa inadisplay text za ovyo hizo?

Hivi phishing attack inaeza kumfanya mtu akafanikiwa kupata credential information za watu zaidi ya 70000 ?

Na aliyefanya hivyo ni mtu tu kama hao hao waliohack iyo afrocentury.
 
Mii naamini hackers ni wale GOP waliowasumbua Sony, Lizard walio isumbua Xbox na Playstation na wakaanza target Tor. Wakubwa wao ni kina Anonymous
Wengine ni script kids hata programming hawajui
 
Mii naamini hackers ni wale GOP waliowasumbua Sony, Lizard walio isumbua Xbox na Playstation na wakaanza target Tor. Wakubwa wao ni kina Anonymous
Wengine ni script kids hata programming hawajui

Kina anonymous ni akina nani ?
What is a script kiddie ?
 
Bishaneni, ila mcgombane na kuwekeana chuki 2,,,!!
 
Wabongo bwana! wamejua vi terminologies vya wadukuzi basi wanaanzakurushiana vijembe, hz siasa uchwara zinatupeleka kuzimu... Acha mi nijilie ugali hicho ndicho ninacho kipenda, hvyo vingine vya ubishi wa ujuaji nawaachia wajuaji.
 
Siasa mchezo mchafu..
Hasa ukiingizwa kwenye sayansi na teknolojia, for this reason We shall continue touching European buttocks whilst our aim is playing with their heads...
 
Kina anonymous ni akina nani ?
What is a script kiddie ?

A script kid is someone who uses other peoples programs to hack script kids cant code or have little knowledge of coding,
Anonymous hackers, ni kati ya makundi makubwa na ya hackers, wanao target government institutions, organization etc
 
A script kid is someone who uses other peoples programs to hack script kids cant code or have little knowledge of coding,

Ata elite hackers wanatumia tools wanazotumia script kiddies,
je nao tuwaite ni script kiddies ? Jibu ni hapana kwasababu wao wanaelewa hizo tools zinafanyaje kazi katiga kila target wanayoifanya.
Tofauti na script kiddies wao wana click next next tu bila kujua wanachokifanya kinaleta madhara gani/ kinafanyaje kazi...

Usidhani kwamba eti Elite hackers ata code kila kitu from scratch kwaajili yakuhack, yaani mfano hacker anataka ku Dos/DDos a certain website, aanze tu ku code ddos tool yake mwenyewe akati anajua kabisa kuna kitu kama LOIC kinachoweza fanya kazi hiyo, aanze tu kupoteza muda ? This can't be

Na pia usizani script kids wote hawana knowledge ya coding, they know some coding but on hacking zone, they know nothing about how tools work.

Anonymous hackers, ni kati ya makundi makubwa na ya hackers, wanao target government institutions, organization etc

Kwa kawaida makundi mengi huwa na viongozi, lakini Anonymous sio kama uwajuavyo wewe, anonymous ata mimi na wewe tunaeza kuwa tuko anonymous na pia ni ruksa kwasababu halina location maalumu wala watu maalumu na wala kiongozi... Kama yalivyo makundi mengine... Precisely all kind of hacking groups can sometimes be called anonymous...
 
Hacker Naye Mjua Na Kutaka Kuwa Kama Yeye ni SABU tu!!!!
 
Back
Top Bottom