Moja Kwa Moja kwenya mada tajwa , nina ndugu yangu kiumri ananizidi ni kàka yangu ki ukoo mtoto WA baba mkubwa , baba zetu Wana changia baba ( Babu yetu) mmoja mama tofauti. Anaishi nje kidogo ya mji ninapoishi mie ( mjini).Sasa imekuwa no kawaida yake kufika kwangu Leo mara ya 3 anafika saa 3 usiku bila taarifa yoyote na anaondoka saa 12 asubuhi , huyu ndugu kiukweli amekuwa ni kero kwangu Kwa vile amekuwa akifika hapa kwangu bila taarifa na vike vile hasemi shida inayomleta, sio kwamba sipendi wageni kwangu.
Kama unaona aibu kumwambia,akija msimfungulie.Moja Kwa Moja kwenya mada tajwa , nina ndugu yangu kiumri ananizidi ni kàka yangu ki ukoo mtoto WA baba mkubwa, baba zetu Wana changia baba ( Babu yetu) mmoja mama tofauti.
Anaishi nje kidogo ya mji ninapoishi mie ( mjini). Sasa imekuwa ni kawaida yake kufika kwangu Leo mara ya 3 anafika saa 3 usiku bila taarifa yoyote na anaondoka saa 12 asubuhi, huyu ndugu kiukweli amekuwa ni kero kwangu Kwa vile amekuwa akifika hapa kwangu bila taarifa na vike vile hasemi shida inayomleta, sio kwamba sipendi wageni kwangu.
Huu sio uanaumeKama unaona aibu kumwambia,akija msimfungulie.