POMPO JF-Expert Member Joined Mar 12, 2011 Posts 6,690 Reaction score 2,402 Nov 22, 2012 #21 safi sana Mkuu Mateka baba kijacho, Big Up Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
piper JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 3,253 Reaction score 613 Nov 22, 2012 #22 Hongera kwa kitu mtasha
B babacollins JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 901 Reaction score 212 Nov 22, 2012 #23 Bourgeoisie said: Hongera Kaka. Password yako itunze vizuri kwa wale watakao mnyemelea! Tunamuombea miezi 9 ikamilike salama na kutuletea kizuri kilichoumbwa na Bingwa wa kuumba - Muumba. Click to expand... Yaaa..kuna mwengina aliwekwa juzi hapa akipatiwa huduma ya kwanza....tena kwenye bajaji!!Duh!
Bourgeoisie said: Hongera Kaka. Password yako itunze vizuri kwa wale watakao mnyemelea! Tunamuombea miezi 9 ikamilike salama na kutuletea kizuri kilichoumbwa na Bingwa wa kuumba - Muumba. Click to expand... Yaaa..kuna mwengina aliwekwa juzi hapa akipatiwa huduma ya kwanza....tena kwenye bajaji!!Duh!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,268 Nov 22, 2012 #24 Nitumie namba yake nimsalimie wifi