Huyu ndo Wifi yenu.

Huyu ndo Wifi yenu.

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
Wana JF naomba nimtambulishe shemeji/Wifi yenu ndo huu.
Na Kitu tayari tunasubiri miezi tu.
delete.jpg
 
Hongera sana, Tunawaombea ili "kijacho" kifike salama
 
Mmeshafunga ndoa, au umeamua kutesti kitu kwanza kama kinaweza kureproduce, then ndoa baadaye ikishuhudiwa na mtoto wenu!
 
Hongera Kaka. Password yako itunze vizuri kwa wale watakao mnyemelea!

Tunamuombea miezi 9 ikamilike salama na kutuletea kizuri kilichoumbwa na Bingwa wa kuumba - Muumba.
 
mmmhhh kama demu wangu wa zamani vile, si naniii ...... huyo. Ila anajitumaga!
 
Yaani daahhh..napata kitu kama hiki nakuwa na wivu kama Nyegere vile..!!
 
Hawa wasema hovyo ndo hatuwataki humu kwenye jf..jiheshimuni jamani..shemej kasimama kitu cha mbele..very gud nigger ,iga ufe na biashara yako ya mafenes kama hujafungai.idiot
 
congrats kama tu hutuzugi...maana wabongo kwa misifa...
 
Back
Top Bottom