Too badIncopetence iliyopo huko inatisha, why because hawawi constatly challenged kama walioko private. So wana relax
leo sijapata muda wa kupitia kule naomba samare basiKatuga amekuwa suprised
Kwa kweli hajaamini masikio yakeeKatuga amekuwa suprised
Katuga sio Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Wakili Mkuu! By the way unaelewa tofauti yake?Nmefatilia cross examination ya kapuga sjui katuga dhidi ya Mnyika nimetamani kulia,huyu ndo mwanasheria mkuu wa serikali ya AWAMU 6 anae tegemewa? Aise kama Taifa tunasafari ndefu ya kuendea walah nasema hii ni aibu.
ILA Mimi sishangai jaman, Hawa ndo watu walioko serikalini jaman ni janga kwa Taifa.
Katuga nakushauri Leo usigegede mkeo walau matipo choice uliyosoma wewe wakati Lissu anasoma critical thinking isikuumbue.
Sasa mtu kakaa na gwiji wa Sheria kwanini asijue mbinu za Kivita kukwepa maswali ya kichokoziMnyika ana Akili nyingi Sana tena sanaa.
Kuna kipindi huyu katuga alikuwa anaenda kuuliza wenzake wampe maswali ya kuuliza alafu anamkuta mnyika ametulia tu
Moja ya samari ya leo ni hii ππleo sijapata muda wa kupitia kule naomba samare basi
Aliacha chuo hakumaliza alipopata ubunge.Ni kama niliwahi kusikia kua mnyika ana LLB
Kwamba hamna loloteππππ sio mimi najaribu kuelewa anachokisema mtoa madaMnatuchukulia poa sana sie Form Six
Mkuu Mnyika ni product ya Maua seminary. Jamaa ni kipanga haswa.Mnyika ana Akili nyingi Sana tena sanaa.
Kuna kipindi huyu katuga alikuwa anaenda kuuliza wenzake wampe maswali ya kuuliza alafu anamkuta mnyika ametulia tu
Nimecheka mieMoja ya samari ya leo ni hii ππ
NASSORO KATUGA: Kwa hiyo, kwa yale masaa matatu mliwashikilia?
MNYIKA: Hapana, sina maana hiyo. Kuna ambao hata masaa matatu hawakumaliza.
NASSORO KATUGA: Mwenyekiti wako alisema kwamba tuliwatoa waandishi wa habari kwa sababu hatukutaka Part 2 ifikie kwa umma. Wewe unasema mliwatoa kwa sababu wakaendelee na majukumu yao. Haya majibu yapo sawa au hayapo sawa?
MNYIKA: Yapo sawa. Ni sawa na kusema hii chupa ya maji ipo half full or half empty.